Siku nikipata mpenzi itakuwa hivi

Siku nikipata mpenzi itakuwa hivi

Maana yake huwa unapima kila ukiwa na baby mpya.
Hadi unahisi damu itaisha maana yake unapima kila Mara na kiswahili ni kwamba kila mara unakuwa na wanaume wapya.
Kwa nini unakuwa unawabadilisha? Unawaacha au wanakuacha?

Ushauri wewe tulia na mmoja.
 
Ikitokea nikaanza tena mahusiano ,sitapima tena ngoma nimechoka hata damu itaisha sasa. Nishapimana saana.
Nifanyeje wadau nibaki single forever au nifanyeje Na condomu zina cancer?
Nimewaza tu Leo kuhusu my future husband
Aliekuambia kondom zina kansa n nani.... acha mawazo na mila potofu kijana wangu
 
Maana yake huwa unapima kila ukiwa na baby mpya.
Hadi unahisi damu itaisha maana yake unapima kila Mara na kiswahili ni kwamba kila mara unakuwa na wanaume wapya.
Kwa nini unakuwa unawabadilisha? Unawaacha au wanakuacha?

Ushauri wewe tulia na mmoja.
Unajua wanaume tena shosti.unashtuka ushaachiwa manyonya kuku keshaliwa.unaanza tena
 
Ikitokea nikaanza tena mahusiano ,sitapima tena ngoma nimechoka hata damu itaisha sasa. Nishapimana saana.
Nifanyeje wadau nibaki single forever au nifanyeje Na condomu zina cancer?
Nimewaza tu Leo kuhusu my future husband
Sawa mkuu wewe gongwa dry tu Inapendeza DR SHIKA.
 
Hahaha aisee hizo stress za miaka na misukumo ya mashoga karibu kwenye chama cha makachero Tanzania (C M T)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom