Modrizzy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 971
- 1,799
Wasallaam wakuu wangu wa nguvu
Ndugu wakuu hebu naomba mnisaidie hili tatizo shida ni nini hasa toka nimeanza mahusiano sijawahi maliza mwaka 1 na msichana yani imekuwa shughuli si mchezo
Kwangu ikifika tu miezi 3 naanza kumpotezea mdada wa watu shida ni nini hasa hiyo huwa haijalishi nimekutana nae kimwili au sija kutana nae baada ya miezi 3 mimi huwa tayari nishamchoka sijui sababu mpaka sasa shida nini
Wakuu hebu naomba nisaidieni nini nifanye, nini nitumie , au nini kinasababisha hali hii maana ntakosa mke sasa .