Binti wa Miaka 24 hajui Ku-Kiss (Kubusuana)..

Nampongeza sana huyo binti kwa kujilinda na kuthamini mwili wake. Namwombea Mungu ampe kijana mzuri mwenye hekima ya kuweza kuthamini huko kujilinda kwa huyo binti na kumtunza.
Ningekuwa na anti kama wewe unayetaka mabinti wa umri huo wawe wamekubuhu kwenye mapenzi na kujamiiana ningemwomba mungu akuguse ili ubadilike. Kama wewe ulikuwa umekubuhu at age 24 that's fine, but not everyone is like you.
 
Back
Top Bottom