Mwanamke afanyeje akisalitiwa na mumewe?

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
625
Kwa bahati mbaya sana sijaona kifungu kinachozungumzia pale mwanaume atakapomsaliti mke wake japo najua uzinzi (kufanya mapenzi nje ya ndoa) umekatazwa.

Iwapo mwanamke atamsaliti mumewe basi mumewe anaruhusiwa kumpa talaka Mathayo 19:7-9.
Kwa wanawake hili jambo halijaainishwa au kama limeainishwa inafaa wanajamvi mtupe mstari.

NB: Mwanaume ni tofauti na mwanamke kwani anaweza oa wake wengi wakati mwanamke anaolewa mara moja tuu na mume mmoja kwa wakati mmoja. So pengine hii ndio sababu ya wanawake kutulia na kuendelea na maisha kwa sababu ndivyo MUNGU alivyoumba viumbe wake.
 
Nitakuwa nje ya maandiko mkuu,sorry.

Mwanamke akisalitiwa akajua atulie asilie wala kunung'unika,avizie mume akiwa kalala aweke maji jikoni yapate motoo

Yakishapata moto sana aweke unga asonge ugali ale
Wanaume wako wengi
 
naunga mkono
 
Kila kitu kinadhibitishwa kwa maandiko ndugu yangu achana na mawazo ya kidunia.
 
Back
Top Bottom