Just left the big house to a bigger house
Ain't have a girlfriend but the bitch is out
Chanel croc bag, shit ain't even out
With the gold chains, Himalayan, Birk' and cocaine
Lit it up, Pac shit...
Mwanaume aliyetongoza kwa muda mrefu na akachunwa vilivyo lakini mwishoni akalala na Mwanamke na Mwanamke ambaye amemsumbua Mwanaume huyu kwa muda mrefu lakini mwishowe akakubali na ' Kulalwa ' na...
Wakuu naendelea na nyuzi zangu za kuelimishana na kuongezeana maarifa kidogo.
Ulishawahi kujiuliza kwa nini:-
* Mtu huchukua maamuzi ya kujiua baada ya kuachwa, kufumania au kufumaniwa?
*Kwa...
Kwa majiana naitwa Elnest tesha, namiaka 33 natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayar kufunga ndoa na Mimi .. sifa, awe mcha mungu, dini yoyote, awe na bachelor degree, masters, au PhD ikiwa computer...
Ni hivi, mimi situmii kinywaji ila girlfriend wangu anakunywa aina zote za bia sasa jana kaniomba hela anataka achukue bia hapa jilani mimi nikamnyima akaingiza mkono kwa nguvu katika mfuko wangu...
Hivi wadau mwanamke kushik simu yako ni sahihi maan hii tabia ukweli si ipendi inanifany ni mchukie kabisa huyu mama kijaa japo sijamuowa na nimekuwa nikimkataza mara kwa mara namuon kama hanifai...
Mwanamke ambaye akiamka tu basi nyumba yote inapoteza amani...ni kelele hadi mtaa wa pili. Asiolewe.
Mwanamke ambaye anaporudi tu home mita mia kabla ya kufikia kelele zinaanzia huko...akifika tu...
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa Nina la Stanford(34), mkazi Wa wilayani Mbarali amefikishwa mahakamani na mke wake kwa kukataa kutoa taraka. Akimweleza hakimu Wa mahakama ya mwanzo, Bi Victoria...
wakwe zangu kwa kweli wamenionesha ushirikiano mkubwa sana kwa huyu binti yao. baba yake alitokea kunipenda sana kwa jinsi ambavyo nlikuwa muungwana na mwenye heshima kwake. akanipa siri ya yeye...
Wakati mwingine hua nashindwa kuwaelewa wanawake.
Mwanamke akiunganishwa na mwanaume toka kwa ndugu au rafiki yake ni rahisi sana kwa huyo mwanaume kumtafuna huyo mwanamke bila hata kumtongoza...
Jamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu
Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye...
Habari WanaJF?
Kuna ndoa ya jamaa yangu inapita kwenye mawimbi makubwa sana yaani anytime inavunjika ugomvi ni kwamba mwanamke kachukia sana jamaa kunenepa na kuota kitambi!! Anasema ni afadhali...
Mambo vip wakuu,,
Juzi nlikua natoka arusha kuja dar,pembeni nilikua nimekaa na mshkaji flan hvi ana asili ya kiarabu muda wote alikua anaongea na simu na kumtukana demu wake Mana alikua anahasi...
Baada ya mihangaiko ya weekdays siku kama ya leo wengi wetu hujaribu kuipumzisha akili na mwili pia, wengine hupendelea kwenda maeneo tulivu kama beaches n.k lakini wengine tunapendelea kukaa...
Waingereza niliwapendea kitu kimoja tu na ndio maana wapo hapo walipo! Wao hujifunza failure/makosa ya historia yao na kuyafanyia solutions kwa hiyo wanakua wanayazuia yasitokee tena. Mbinu hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.