Sehemu salama ya kumuacha mke wangu

plainpaper

Member
Oct 12, 2018
71
60
Habari wanajamvi, ninataka kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka mitatu, katika tafakari zangu nimekuwa nikiwaza ni mkoa gani naweza nikamwacha mke wangu kwa muda wote huo? NImekumbuka ni Dar es Salaam pekee ndio mkoa ambao hauna madhara makubwa. Nikimuacha mkoani kuna uwezekano mkubwa wa kumkuta na watoto wengine wawili ila kwa dar es salaamu maana ni ngumu sana kwa sabab kwa mawazo yangu utafiti ukifanyika tena nahisi idadi itashuka na kuwa asilimia 28% badala ya 40%. Wanaume wa dar oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Njoo muache kwangu coz mimi ni hanithi sidindishi .
 
Sipati picha papuchi ya mkeo utavoikuta imechakaa kwa hiyo miaka mitatu
 
uwazavyo sivyo? endapo una uhakika kwamba huta gegedana huko uendako wewe SIO rijali......kwani yeye hahitaji hiyo huduma....wewe ndo ulomtoa bikraaaaaa...wangapi ustembea nao hata baada ya kumwoaaa??..unavyoonekana humwamini mukeo....UTAPATA TAAABU SANAAAA
 
Kamuache kwa mzee wa upako aka Ngosha Gwajii, utamkuta salama salimini na salama yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom