UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Habari za jioni wanawake baadhi yenu mna tabia ya kununa nuna mpaka inaleta chuki sana tena sana mpaka kero wanawake mnatutesa sana wanaume mpaka haki yetu muhimu mnatunyima acheni kununa bora useme kuliko kununa