james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 717
- 744
Hivi wadau mwanamke kushik simu yako ni sahihi maan hii tabia ukweli si ipendi inanifany ni mchukie kabisa huyu mama kijaa japo sijamuowa na nimekuwa nikimkataza mara kwa mara namuon kama hanifai na anaye nizarau kumkaraxa kitu nisichopenda lkn bd anafanya wadau nimfanyaj tn huwa ananivizi kam leo nimegonga kamvinyo kidog ile kulala akapitiaa Charting zang zote halafu akaniambiaa hasira nilizozipt bc tu yn sijui nimfanyee nikiwa namwambia kitu aheshimu na kutii km mwanamume yn wanawak wa sikuiz viburi sn