Mademu sijui niliwapa nini ata uwa sielewi

Hahahahahhahaahahahahahahaaa, kama uko kwenye social media ambazo huwa unarusha / unaweka picha zako, basi kuna siku bila wewe kujua ulipost picha yako ya maeneo pendwa wakaona unachomiliki hivo wanataka kufanya majaribio. Laaah wa nakupigia chabo ukiwa unaoga wewe hujui...

Dawa ya kuwakimbia na kuwaweka mbali na wewe ni kuwafungulia miadi halafu uwape malengo magumu wayatimize na uwaambie atayeleta mapato mengi kuzidi malengo aliyowekewa ndo ataolewa.

Watakuingizia hela kuliko unavyodhani na sababu watakuwa busy kutimiza malengo ili waolewe hawatakusumbua. Ukishamuacha hela unavuta kaschana ukapendacho unaoa.

Life is never fair, wewe unaona usumbufu mwingine anatamani hata psii psii hehehehehhee.

Kasinde.
 
Yeah,uoo sahihi mkuu
 
Ina Maana hao wanawake wote wako Idle ? hawana wapenz? let say 5 kwa siku, mara siku 30 za mwez, unapigiwa na wasichana 100 kwa mwez ambao umesoma nao, Mmmh hatar kama ni hivyo
 
Back
Top Bottom