jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 625
Waingereza niliwapendea kitu kimoja tu na ndio maana wapo hapo walipo! Wao hujifunza failure/makosa ya historia yao na kuyafanyia solutions kwa hiyo wanakua wanayazuia yasitokee tena. Mbinu hii inatumiwa na jeshi la waingereza.
Sasa ni wakati muafaka kwa sisi wanaume kujifunza kwenye makosa ya watangulizi wetu (Waliokuwa na ndoa zao) ili tuyazue makosa yaliyowakuta yasitokee tena. Wewe kama mwanaume una muda mwingi wa kujifunza mambo ya wanawake na wanaume wenzio waliooa na hili naamini utekelezaji wake ni mkubwa kwa sababu binadamu wengi hutumia asilimia 80% kwenye mapenzi so focus on productive things only in marriage and love generally.
Fata hizi procedure kwanza kabla hujaingia kwenye ndoa.
1/Muweke MUNGU kwanza kwenye mpango wako wa ndoa na mipango yako mingine. MUNGU ndie anaetoa riziki na Baraka zake pia mke wema hutoka kwa MUNGU kwa hiyo ndugu yangu nakushauri anza na MUNGU kwanza.
2/Mwanaume nakushauri tafuta pesa kwanza tengeneza uchumi wako na maisha yako kwanza kabla ya kuoa. Hakikisha kila mali na chochote umetafuta peke yako hii ni silaha yako.
3/Sign prenuptial agreement kabla hujafunga ndo hii ni ulinzi wa familia yako na mali zako pale mkeo atakapokusaliti msianze kusumbuana kwenye kugawana mali. Kwenye mali ndipo matatizo mengi huibuka kwani mwanaume kama huna kipato cha kutosha basi kugawana mali itakusumbua san nap engine hutaweza kufanya hivyo so utalazimika kuishi na mkeo hivyo hivyo matokeo yake utakua unajiandalia kifo mapema kwa mateso ya mwanamke msaliti. Kuchapiwa ni ngumu MUNGU nae anasema hivyo katika Mathayo 5: 31 na Mathayo 19:7-9 so ndugu yangu usijiandalie kifo. Mke msaliti ni wa kuacha tuu na wewe mwanaume unapaswa usiwe mzinifu ili MUNGU atende haki vizuri. MUNGU kasema tuishi kwa akili na wake zetu hujui kwanini alisema hivyo.
4/Mwanamke usimpe nguvu kwani hawa hufikia mahali na kujiona wao ni wao kwa hiyo hukuendesha watakavyo na usaliti ndio huanzia hapa kwani anajiamini huna pakutokea. Kama umempa mkeo moyo wako andika maumivu! Akijua unampenda basi anajua kwake huchomoki hivyo atakuzungusha kama pia.
Mimi natumia system za kibepari/capitalism kuendesha maisha yangu sipo dependant kwa bindamu yeyote bali MUNGU tuu. I put my interest first!
5/Don’t limit your self kwa huyo mwanamke hili ndilo linalowamaliza wengi kwamba bila huyo mwanamke huwezi ishi! My friend kama uliwaacha wazazi wako kwanini usimuache mkeo? Sky is the limit nakushauri kuwa unlimited but faithful kwa mkeo I mean usiwe na mchepuko ila jiwekee mazingira akikucheat unatafuta mwanamke mwingine. Wanawake ni wengi jamani kwa hiyo tusijifanye vipofu. Mpende mkeo ila usimfanye yeye ndie mwanamke pekee hapa duniani! Huo ni upofu na ni kuumiza moyo na nafsi yako…
6/Don't trust a woman
Kamwe usimuamini mwanamke siku yakitokea yakutokea ndugu yangu utakuwa katika hali mbaya pengine kifo.
Sio mwanamke tuu bali mwanadamu yeyote hata maandiko yanasema amtumainiye binadamu amelaaniwa. Sasa ndugu yangu kwanini utake kulaaniwa? Plz take care ulimwengu mgumu huu usipo kuwa makini umekwisha, Maandiko yanasema penye moyo wa mtu ndipo penye uhai wake.
7/Ongezea za kwako
MUNGU atubariki sisi wanaume pamoja na wake zetu.