Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,293
Ni hivi, mimi situmii kinywaji ila girlfriend wangu anakunywa aina zote za bia sasa jana kaniomba hela anataka achukue bia hapa jilani mimi nikamnyima akaingiza mkono kwa nguvu katika mfuko wangu akachukua wallet na kuchukua mwekungu mmoja, mimi nikawa nampokonya bahati mbaya ikachanika.
Nilimzabua kibao kidogo tuu, alilia kweli toka jana saa 10 kazira haongei namimi wala nini kalala tu nikimsemesha anageukia upande wa pili. Jana usiku nimepika akakataa kula asubuhi chai kakataa, sasahivi namwambia nichukulie nini cha kula anapandisha mabega na kuyashusha kuashiria hataki.
Wadau nifanye nini maana naogopa mtoto wa watu isije kuwa anataka kucommit suicide, msaada nimfanyeje?