Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Maisha yanaenda kasi sana, mabadiliko ni makubwa sana. Nimewasikia wanaume wengi wakisifia chura za wadada, sijajua ninyi wakaka mnapendea nini chura. Ukiachana na hayo mimi leo nataka niwashauri...
4 Reactions
77 Replies
9K Views
Wa salaam, Jibu lake ndo hili: Jaza moyo wako mambo mazuri, Jaza ubongo wako fikra nzuri. Awazavyo mtu ndivyo huwa. Hivo waza mazuri juu ya watu wote nawe utayaona mazuri hayo. Ukiwaza kusalitiwa...
5 Reactions
76 Replies
7K Views
Wanaume wengi walioa wanawake wa darasa la 7 au form4 wanafurahia ndoa zao kuliko wanaume walioa wanawake wasomi.. Uongo au ukweli toa mawazo yako.
24 Reactions
360 Replies
33K Views
Mimi ni mwanaume rijali kabisa natafuta mwenza wa maisha alie tayari kuishi maisha ya ndoa na familia natokea kusini mbeya, umri wangu 28 years elim degree, kazi biashara.... Akitokea kusini...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii siyo chai kama chai zingine ila imebase kwenye true story, Huyu mpenzi wangu nilisoma nae chuo na wakati huo tunamalizia course bahati mbaya au nzuri alipata ujauzito hatukuwa na chagua...
4 Reactions
52 Replies
7K Views
wakuu huwa nasafiri mara kwa mara. Sasa huwa inatokea nakutana na wanawake wazuri sana. Kibaya safarini huwa najisemea kwamba huyu nisipomsemesha au kuomba namba ntajuta maisha yangu yote. Kuna...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Wa saalam kwenu wadau wangu wa nguvu Twende kwenye hoja mujarabu ni hivi wadau.. Nipo na mpenzi wangu kwa kweli nampenda ila sasa inshu ipo hivi , ni kua huyu mpenzi/ mchumba wangu hapendi na...
3 Reactions
96 Replies
6K Views
Hivi karibuni mdogo wangu ataoa kama kawaida tunamuweka ndani kumpa mawili matatu ya kuendeshea maisha yake kama mwanamme. Siku ya kwanza anakutana na marafiki zake wanampa maneno siku ya pili...
2 Reactions
57 Replies
11K Views
Ni furaha sana kwa mwanamke unayemtongoza kukulia vijisenti vyako na asikupe papuchi!huwa wanajiona washindi sana na kukublock watakublock tu! Team kiumeni ni marufuku kumpa pesa mwanamke yeyote...
17 Reactions
93 Replies
13K Views
Natafuta rafiki wa ukweli, ambaye tutakuwa tunabadilishana mawazo, karibu
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Naomba mnisamehe wenye wake. Ni miaka miwili sasa toka nimeanza kumtafuna huyu mwanamke. Huyu mama alinitongoza mwenyewe lakini nilifanya juu chini kukataa ombi lake. Nikamwambia ukiendelea...
2 Reactions
159 Replies
17K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 ninaishi Dar, mweusi mrefu mwenye mwili kidogo natafuta mpenzi mwanamke mzuri anaye ishi Dar ambaye yuko serious anatafuta mpenzi kama mimi,mwenye kazi pia mwenye umri...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi huchukulia mitandao kama pori ambalo lina kila aina ya wanyama, wakuliwa, wasio wa kuliwa na wanyama hatari. Ubaya Zaidi hizo namba mnazoweka humu mitandaoni huwa hazifutiki kwani hubaki...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimekaa hapa nawaza ...eti wana jukwaa kipi kina kazi kutongoza Binti mpya ambae hujawahi mtongoza au Kutaka kurudiana na EX wako wa zamani......
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari ndiyo hiyo na Kazi mnayo. Shikamooni Watafiti wote Duniani! Nawasilisha.
2 Reactions
33 Replies
7K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
7 Reactions
70 Replies
9K Views
Nimekuta hii TWEET imesambaa baadhi ya whatsapp groups, but nimeshindwa elewa inamaanisha nini, hiyo style ya nywele ina uhusiano gani na kutumia kondom?
1 Reactions
57 Replies
19K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
8 Reactions
250 Replies
39K Views
Huyu demu hajawahi kuniomba hela tangu tuanze mahusiano na ata ikitokea kumpa huwa anasema nichukue nikafanyie mambo yangu ambayo yatanya tujenge maisha yetu ya baadae yeye hana shida kwa wakati...
0 Reactions
105 Replies
7K Views
Natafuta mchumba ,Masharti rahisi tu 1;umri kuanzia 22 mpka 26 2;Asiwe na Mtoto 3;Asiwe mfupi 4:kutoka mkoa wowote ule Tanzania bara na visiwani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom