Nimeamini sifa pochi nene sio sura

Nimeamini sifa pochi nene sio sura

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
2,548
Reaction score
2,699
Mambo vip wakuu,,
Juzi nlikua natoka arusha kuja dar,pembeni nilikua nimekaa na mshkaji flan hvi ana asili ya kiarabu muda wote alikua anaongea na simu na kumtukana demu wake Mana alikua anahasi anasalitiwa alinichosha kwa kelele zake.
Back to ze point, pembeni kwenye seat yetu alikua amekaa dada flan hv mzuri yupo na kanjemba seat moja Dada alionekana yupo serious sana jamaa akawa anamsemesha demu ,bint akawa anakula ganzi muda ukaenda jamaa aka anza kumnunulia azamu juice demu aka anza kukenua meno nkasema tayar mbuz kafia kwa muuza bucha ,tulishuka kula kijamaa kikajitutumua kumnunulia chakula demu akawa anafurahi tu ikafika muda ya sa moja ucku kwenye bado tupo kwenye gar nkaona kanjemba kanamshika shika yule bint ,kale kabint kamelegea nikanena kwa kilugha chetu ila kimoyo '' lero ndero'' cha ajbu tulipofika ubungo nikona jamaa kachukua tex na demu wakaenda wanakokujua .
Nimeani dunia sifa pochi nene sio sura Mana kanjemba kalikua na sura ngumu kudadekii
 
Kwani ulikuwa haujui mkuu tafuta pesa mademu watakuja wenyewe hakuna demu anaerizika kudate na njaa njaa
 
Ndio mbuni tulizopewa wanaume hizo mkuu mwingine anang'oa bila hata pesa ujanja tu
 
Wanasemaga mapenzi ulaya bongo ni biashara! Kwa hilo sishangai, ni karibia asilimia 90 ya wanawake ukiwalisha vizuri kisha ukaomba penzi wakati wameshiba huwa hawakatai!
Sasa ukute huyo manzi ana bwana wake au ameolewa lakin ameng'olewa kiurahisi sana
 
Mambo vip wakuu,,
Juzi nlikua natoka arusha kuja dar,pembeni nilikua nimekaa na mshkaji flan hvi ana asili ya kiarabu muda wote alikua anaongea na simu na kumtukana demu wake Mana alikua anahasi anasalitiwa alinichosha kwa kelele zake.
Back to ze point, pembeni kwenye seat yetu alikua amekaa dada flan hv mzuri yupo na kanjemba seat moja Dada alionekana yupo serious sana jamaa akawa anamsemesha demu ,bint akawa anakula ganzi muda ukaenda jamaa aka anza kumnunulia azamu juice demu aka anza kukenua meno nkasema tayar mbuz kafia kwa muuza bucha ,tulishuka kula kijamaa kikajitutumua kumnunulia chakula demu akawa anafurahi tu ikafika muda ya sa moja ucku kwenye bado tupo kwenye gar nkaona kanjemba kanamshika shika yule bint ,kale kabint kamelegea nikanena kwa kilugha chetu ila kimoyo '' lero ndero'' cha ajbu tulipofika ubungo nikona jamaa kachukua tex na demu wakaenda wanakokujua .
Nimeani dunia sifa pochi nene sio sura Mana kanjemba kalikua na sura ngumu kudadekii
Hahaha mbuzi akafia kwa muuza supu kiulainiii,kama nawaona vile wakiingia kwenye tax na kutokomea kusiko julikana.
 
Ha ha ha balaa jamaa alienda kufwaiidiii kiurahini makupuku tunadanja na maugwadu yetu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom