Kwa sasa kuna matumizi makubwa sana mabaya ya nguvu ya ushawishi ya wanawake kwa wanaume.
Na matokeo yake wanaume wengi hujikuta wakiwa dhaifu sana pengine bila kujijua kulinganisha na nyakati...
Kichwa cha habari kihusike
Historia imethibitisha bila kuacha chembe za mashaka kama utekwaji wa Mo
Mababu wamethibitisha .....ktk masimulizi yao
Baba zetu wamebainisha .....kwa matendo yao...
Naandika kwa machungu sana muhusika kalala hapa fofofo kuna calls zilipigwa simu katoa mlio so ina vibrate,ghafla sms ziliingia kama mvua kwanzia sa sita ivi tulipiga vyombo kiaina leo baada ya...
wazazi mpunguze muda wa matumizi ya mitandao ya kijamii ikiwemo ya WhatsApp na Instagram na badala yake mtumie muda mwingi kuwa karibu na watoto mfahamu maendeleo yao kitaaluma. wazazi na walezi...
Kichwa cha habari chahusika.
Tunafaidika vipi kuwa player?
Tunafaidika vipi kudate mwanamke for sexual pleasure tu?
Je tukitafuta mmoja tu na kumuandaa kwa ajili ya kumuoa tunapungukiwa nini?
Kama hii trend ya kejeli sijui ni utani jamaa mmoja kauliza "mbona wadada wa mikoani wakija dar kufanya kazi za ndani tunawakuta na bikra zao!! Hivi wanaume wa Mikoani ... MNAPOKWAMA NI WAPI?"...
Mimi nikiingia toilet huwa siwezi kujisaidia huku nimevaa nguo haijali ni choo ndogo au kubwa lazima nivue nguo zote kuanzia chini hadi juu ndio nitaweza kujisaidia kama sijavua nguo nakaa muda...
Wakuu habar za majukum
Kwa sababu mm ni mdau wa MMU nimeona niwaulize wanafamilia wenzangu ingawa inawezekana sio forum sahihi
Nategemea kufanya IELTS by january nxt year,so ningependa kufaham...
Mwanamke ni kiumbe dhaifu?
Jibu ni ndio, ni dhaifu kimwili lakini sio kiakili.
Kwa sababu ana akili za aina mbili (za kike na za kiume).
Kila akili hufanya kazi kwa wakati wake. Akili za kiume...
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe...
Ndg wana jamvi watu wengi walio kwenye mahusiano ya kimapenzi au uchumba wamekuwa wakilalamika kuwa upendo umekuwa unapungua siku moja hadi nyingine kutokana na kuzoeana sana, Je hoja hiyo ni ya...
Akitiririka na akiserereka ' Runingani ' Mtangazaji maarufu na ' Poti ' wangu kabisa Bhoke wa EAtv na Kipindi Kizuri cha DADAZ leo amefunguka na kusema kwamba moja ya sababu iliyomfanya aamue...
Pale mwanamke anapoona ameishiwa pesa huvutiwa zaidi na mwanaume au wanaume wengi kwa wakati mmoja,
Lakini akiwa na pesa, au uhakika wa kuingiza kipato kwa siku kutoka ktk kazi au miradi yake hali...
Sisi tuliolea au tunaolea tunalifahamu hili unamuwekea chakula anang’ata ng’ata na kukiacha kumbuka tumbo la mtoto ni size ya ngumi yake kama ulimpa na maziwa au juice atakuwa ameshakula...
Eeeeeeh bwana kuruka ruka sio kuzuri kabisa, kuna upuuzi mmoja nimeufanya na sasa unanitokea puani kuna bar moja napenda sana kupiga maji, sasa Kuna siku nimeenda akawa ameletwa mhudumu mkale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.