Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kiukweli mwanamke huwezi kumchunga bali yeye akiamua kujichunga mwenyewe na kukuheshimu Ilikuwa mwaka 2006 pale demu wangu tuliyependana sana aliponieleza kuwa amepata mwanaume wa kumuoa kipindi...
6 Reactions
62 Replies
7K Views
Nadhani kuwa na mwanamke asiye na ajira ni bora zaidi maana kuna tofauti ya kimaumbile na kimajukumu kati ya mwanamke na mwanaume. Majukumu ya mwanaume ni tofaut na ya mwanamke, jukumu la...
57 Reactions
166 Replies
17K Views
Hellow members Nmekua nikiwaza sana ni kweli Mapenzi au kupenda ni hisia ambazo hazichoshi ila kwa nini zinaniumiza??kila muda namuwaza yeye tu hata nashindwa kufanya mambo mengine nikipiga cm...
3 Reactions
70 Replies
9K Views
Marafiki salamu kwenu nyote.. Binafsi napenda sana wanawake weusi hawa waafrika wenzangu na hata kwenye suala la kuona kwa imani naamin nitaoa Muafrika mwenzangu pia Tuje upande wa pili kwa...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Napanga kuanza tabia ya kila Weekend ambapo huwa napenda kuwa na Wapenzi wangu mmoja Jumamosi na mwingine Jumapili basi badala yake sasa niwe nawaita wote kwa pamoja nakuwa nao kuanzia Jumamosi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nawasilisha Kwa uzoefu wa niliyoyaona Kuoa mwanamke mchoyo/mchafu inaweza kuathiri mapenzi hata mahusiano yenu /intimacy Pata umepokea wageni,mkeo anaandaa chakula ambacho dhahiri...
7 Reactions
63 Replies
10K Views
Kuna msemo uliosemwa na mwanazuoni mmoja, nanukuu; 'Kupa ni kumpa akupaye, kumpa asiyekupa ni kutupa.'Hivi miezi saba ya nyuma, kuna dada mmoja nilimzimia kinoma nilikua nikifanya nae kazi...
26 Reactions
106 Replies
10K Views
Swali langu hili kwa wadada na wakaka pia mnaweza kutoa mawazo yenu juu ya hili Mdada unaweza kukubali kuingia kwenye uhusiano na mwanaume asiye na kazi? Je, ni vitu gani vingine...
11 Reactions
270 Replies
27K Views
Unaponda single maza,unaoa bikra mkeo anazaa watoto watatu anakufa.wewe hapo una 40 yrs Ndo utajua mtoto wa mwenzio ndo wako.
3 Reactions
66 Replies
5K Views
Hili suala lililoonekana kwa Amber Ruty sio geni Ndo hali halisi ya mabinti wa kileo hapa Tz,mabinti kuanzia miaka 15+ wanaliwa sana nyuma Binti unakutana nae au kabla hujakutana nae anakwambia...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Unakuta mwanamke ana miaka arobaini Na tano kwenda juu Na watoto kadhaa eti anaachika anaenda kupanga au kuishi kwa ndugu zake. Hebu tulieni huko mtakuja kufa bure. Ushachakazwa unarudi tena...
58 Reactions
228 Replies
18K Views
Igwèeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Hivi kweli nyie watu wa kunidharau mimi na kuniita nimefulia sina jipya na story nilibahatisha? Kweliiii! Hahahaaaaaa! Eti kwenye fani ya...
22 Reactions
674 Replies
150K Views
Leo wakati napitia mitandao kupata habari za asubuhi,nimekutana na mtu anaeleza kuwa kufikiri maisha kumemfanya apige mshindo! Hii imenikumbusha story yangu nikiwa kidato cha 4!Nikiwa kwenye...
33 Reactions
329 Replies
31K Views
Wachache watakubaliana na mimi kuhusu hili swala unajua kuwa na mpenzi ni gharama kuliko ata ile ya kula na kusepa, Kuna kumgharamikia mavazi, chakula,mpaka malazi kwa wengine ila ukiwa unakula...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Napanga kuanza tabia ya kila Weekend ambapo huwa napenda kuwa na Wapenzi wangu mmoja Jumamosi na mwingine Jumapili basi badala yake sasa niwe nawaita wote kwa pamoja nakuwa nao kuanzia Jumamosi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Napanga kuanza tabia ya kila Weekend ambapo huwa napenda kuwa na Wapenzi wangu mmoja Jumamosi na mwingine Jumapili basi badala yake sasa niwe nawaita wote kwa pamoja nakuwa nao kuanzia Jumamosi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume miaka 33 Mkazi wa mwanza muajiriwa Nahitaji binti wa kuoa muislam Umri 18 na kuendelea Alie tayar aje pm
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habari za jumapili wanachama wa CCWT (Chama Cha Wachepukaji Tanzania)! Wale wa siti za mbele mkae kwenye mabenchi mafupi ili wanyuma waone na kusikiliza vizuri!. Wale wa back bench mjitahidi...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
*Dear Anko,* Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Good morning everybody! Nyie madem sometimes lawama mnatafuta wenyewe, ona hii:- Juzi niliwakuta madem wawili nikawapa lift na katika wale wawili mmoja alikaa seat ya mbele na mmoja nyuma. Frankly...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom