Mwanaume anahitaji nguvu ya ziada kuishinda nguvu ya Malaya

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,314
1,366
Kichwa cha habari kihusike

Historia imethibitisha bila kuacha chembe za mashaka kama utekwaji wa Mo

Mababu wamethibitisha .....ktk masimulizi yao

Baba zetu wamebainisha .....kwa matendo yao ya kuwa na nyumba ndogo kila kona

Mama zetu wametuhusia ....kwa makaripio na maonyo

Walimu wetu wamejaribu kutuogopesha ila mshipa uliomshinda fisi wao pia wamefua dafu

Ukweli ni kuwa mwanaume kushinda ushawishi wa mwanamke Malaya ni ngumu sana, hasa Malaya akizamilia kukupata.

Seductive women..... Is so powerful to take any man into captivity

Wakati mwingine huwa nafikiri ...'aliyeumba K.....m, alikusudia kutumaliza wanaume.

Wakuu... Leteni ushuuda juu ya nguvu ya Malaya ilivyo athiri maisha yako kwa namna moja au nyingine

***Mimi mjomba alinaswa akaitelekeza familia kabisa hadi walipomrudisha awezi kuongea tena na HIV juu.
 
1Mwanangu, sikiliza hekima yangu;
Tega sikio lako, uzisikie akili zangu;
2 Upate kuilinda busara,
Na midomo yako iyahifadhi maarifa.
3Maana midomo ya malaya hudondosha asali,
Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta;
4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga;
Ni mkali kama upanga wenye makali kuwili.
5 Miguu yake inateremkia mauti;
Hatua zake zinashikamana na kuzimu;
6Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima;
Njia zake ni za kutangatanga wala hana habari.
7Basi, wanangu, nisikilizeni sasa,
Wala msiache maneno ya kinywa changu.
8Itenge njia yako mbali naye,
Wala usiukaribie mlango wa nyumba yake.
9Usije ukawapa wengine heshima yako,
Na wakatili miaka yako;
10Wageni wasije wakashiba nguvu zako;
Kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni;
11Nawe ukaziombolea siku zako za mwisho,
Nyama yako na mwili wako utakapoangamia;
12Ukasema, Jinsi nilivyochukia maonyo,
Na moyo wangu ukadharau kukemewa;
13Wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu,
Wala sikuwategea sikio langu walionifundisha!
14Nilikuwa karibu na kuingia katika maovu yote,
Katikati ya mkutano na kusanyiko.

Mithali 5:1-14
 
Thanks kwa maonyo mazuri
Shida ni kuepuka nguvu ya utamu huu
 
'Apendaye hekima humfurahisha babaye; Bali ashikamanaye na makahaba hutapanya mali'
Mithali 29:3
 
Umenena vema ndugu yangu
 
Back
Top Bottom