Kuwa player na kudate mwanamke for sexual pleasure ni old fashion

Sijui lakin mim pia ilinitokea huko nyuma.. ukipenda mbeleni lazima wakuumize.. ukiwa wa juu juu wanakuganda.
Tatizo kuumizana boss..yani kukaa na mtu mmoja ni kazi sana, mi mahusiano yangu karibu yote ambayo nilijifanya kuwa loyal yalifeli! halafu mimi ndo huwa nilikua nakuwa victim.

Kama ikitokea kuoa ikawa lazima sana ntaoa nitakaekua nae wakati huo.
 
Kichwa cha habari chahusika.

Tunafaidika vipi kuwa player?

Tunafaidika vipi kudate mwanamke for sexual pleasure tu?

Je tukitafuta mmoja tu na kumuandaa kwa ajili ya kumuoa tunapungukiwa nini?
Wameshindwa manabii sembuse mie!.Hayo ndo matunda ya kuishi.Tule matunda ya ardhi.
 
Ndio kitu ninachofanya huwa nakuwa na mmoja at a time. Shida ni inakuja huyo mmoja akijua kuwa ww nsie wake anaanza kuplay mind games na ww...
Na hapa ndipo players wanazaliwa.. maana wanavumilia mwisho wa siku wanaona bora wawe na wengi ili kuepukana na stress.

How ever mm ninmpingaji wa maplayer na tabia zao maana tamaa nazo zinachangia. N
Kichwa cha habari chahusika.

Tunafaidika vipi kuwa player?

Tunafaidika vipi kudate mwanamke for sexual pleasure tu?

Je tukitafuta mmoja tu na kumuandaa kwa ajili ya kumuoa tunapungukiwa nini?
 
Back
Top Bottom