Kwanini wanaume wanawapiga wake zao?

Kwanini wanaume wanawapiga wake zao?

mkubhi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2,216
Reaction score
3,319
Wakuu poleni na majukumu ya siku!

Wakuu ni kwanini wanaume wengi hawawezi kuishi na wake zao bila kuwapiga hata mara moja!?
 
Heading na hayo maelezo hapo ni vitu viwili tofauti rudi tuu ukalale kesho jpili uende kanisani ukaombewe!!
 
Ukiona unampiga mkeo...jua kuna pepo chonganishi(wale wa imani)
 
Sitaki hata kujua kwanini wanapiga wake zao ila.....;

Nachukia kupigana
Nachukia ugomvi
Sipendi mtu anayempiga mkewe au mmewe

Ukiona hakusikii unachomwambia au anakufanyia kiburi, ondoka mpe likizo au muondoshe aende kwao likizo upate muda wa kuvuta pumzi.

Tushaona wanaopiga wake zao au waume zao wanaozea jela na watoto kuwaacha yatima au waliowapiga kama bado wako hai wanakula bata uraiani.

Kasinde.
 
Mwanaume anayempiga mkewe mangumi na mateke,wengine wanaenda mbali wanatumia hadi silaha mimi nawaona wana shida kwenye bongo zao na hawajiamini kabisaa...mwanamke ana namna yake ya kupigwa bwanaa na akapigika kwelikweli sio unambalasa kama mbwa koko ndio nini...?!

Tupigeni kwa mahaba mazito,Vito vizuri-zuri ee outing za kutosha,mapocho-pocho,.vibao/makofi nipigie kitandani sio nje kila mtu aone..
 
cccc Mother Confessor
 
Kwaio umeshikwa ugoni unataka upelekwe out? Na mapocho pocho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom