Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,047
- 4,449
Habari
Siwezi kumuuliza coz atajua bad intation niliyokuwa nayo kwake na hiyo itamfanya asiniamini tenaIsraeli mtoa roho anakulinda ..
Muulize mkeo anajuaje Kama
Unataka majibu ya haaswaaa..
hongera kwa uamuzi wako wa kutulia kwenye ndoa! je una swali la nyongeza ?
We afrodenzi, ushauri gani huu unampa mtoto wa mwanamke mwenzio..???Israeli mtoa roho anakulinda ..
Muulize mkeo anajuaje Kama
Unataka majibu ya haaswaaa..
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
Poleni na majukumu ya kila siku.
Thax GOD kwa kunipa huyu mke. Nasema hivyo kwa sababu ya vile alivyoniokoa kwenye majanga labda ningekufa na ngoma.
Ilikuwa hivi:
Kabla ya ndoa
Kila nilipokuwa nataka kumcheat alionyesha ishara ya kunishtukia
Mfano. Nikiwa eneo la tukio kabla sijafanya chochote utashangaa kanipigia simu, anauliza kwa upole na hekima mpenzi uko wapi? nahisi hauko salama,............
Kutokana na maongezi yake yaliyojaa upole na hekima hata kama nilikuwa guest na gaili kumgegeda nilie nae mda huo kwa sababu nafsi ilikuwa inanisuta.
Wakati mwingine nikiwa na appointment na dem yeyote nikiwa na nia kabisa ya kumduu, nikiwa njiani naelekea huko mpenzi wangu wa ukwee alikuwa akinipigia simu akizidi kunisihi kuwa nisimcheat
Hii ilinipa shida sana mpaka nikahisi labda miongoni mwa friends wangu huwa wanamtonya. Nikafikia maamuzi ya kutowaambia chochote kuhusu mahusiano yangu mengine. Lkn bado mpenzi wangu ambaye sasa ni mke halali wa ndoa akawa ananishitukia.
Baada ya ndoa
Kunawakati fulani hivi shetani akanivaa nikataka kumcheat wife lkn bado alionyesha ishara ya kunishitukia
Sasa najiuliza huwa anajuaje?
Kwasasa nimeamua sitaki kuwa na mawazo ya kumcheat tena wife
Mh! Huyo atakua si binadamu wa kawaida huyo. Kuna Rafiki yangu aliwahi kua na mahusiano na msichana mwenye mashetani basi kila akitaka cheat anajua kama wako. Hebu mwulize anajuaje juaje.
Siwezi kumuuliza coz atajua bad intation niliyokuwa nayo kwake na hiyo itamfanya asiniamini tena
Inawezekana tu huwa hakushitukii, ila nafsi yako tu iko hai na inakuwa inajishitukia...
Umenikumbusha jamaa yangu flani alinyimwa na demu wake asile kitimoto ...kibishi akaenda kula then akazuga hajala.....kuulizwa akabisha...akaamka asubuhi kavimba mdomo hadi akashindwa kuhudhuria lectureMh! Huyo atakua si binadamu wa kawaida huyo. Kuna Rafiki yangu aliwahi kua na mahusiano na msichana mwenye mashetani basi kila akitaka cheat anajua kama wako. Hebu mwulize anajuaje juaje.
Umenikumbusha jamaa yangu flani alinyimwa na demu wake asile kitimoto ...kibishi akaenda kula then akazuga hajala.....kuulizwa akabisha...akaamka asubuhi kavimba mdomo hadi akashindwa kuhudhuria lecture
sasa wewe pmoses95 jaribu kucheat kama kidushelele chako hakijapotea
Thats gud kuwa na mke kama huyo, unajua kwa sie ambao kdogo 2na religion legacy,hli suala n rahc na linawezkana kabsa kabsa.
Kuna mama meng spiritually ambayo mtmish mwaminif kwa mungu anawezapata kuhusa whas gud come or bads events to come!
Bt haya yote hayaji kwa kukurupka tu,there is some spiritual investiment.
Mh! Huyo atakua si binadamu wa kawaida huyo. Kuna Rafiki yangu aliwahi kua na mahusiano na msichana mwenye mashetani basi kila akitaka cheat anajua kama wako. Hebu mwulize anajuaje juaje.
hizi imani hizi hapana......
ni ye mwenyewe tu anajishtukia,mkewe anakuwa
anapiga kwa nia njema tu
hizi imani hizi hapana......
ni ye mwenyewe tu anajishtukia,mkewe anakuwa
anapiga kwa nia njema tu