my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Mimi nikiingia toilet huwa siwezi kujisaidia huku nimevaa nguo haijali ni choo ndogo au kubwa lazima nivue nguo zote kuanzia chini hadi juu ndio nitaweza kujisaidia kama sijavua nguo nakaa muda mrefu bila kujisaidia nakuwa siko free mpaka nivue nguo. Sio tu nikiwa nyumbani hata kama nitaingia public toilet lazima nivue nguo zote. Na nyinyi inawakuta hii au mimi tu?