Je, hili lililompata mtangazaji Bhoke wa EAtv na Kipindi cha DADAZ hadi kuamua kuachana na mpenzi wake limeshakupata nawe?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,876
Akitiririka na akiserereka ' Runingani ' Mtangazaji maarufu na ' Poti ' wangu kabisa Bhoke wa EAtv na Kipindi Kizuri cha DADAZ leo amefunguka na kusema kwamba moja ya sababu iliyomfanya aamue Kuachana na mmoja wa Mpenzi wake ni Kitendo cha Mpenzi wake huyo kila mara akitaka kufanya nae Jambo basi lazima atamlinganisha na Marehemu Mkewe.

Huyo Mwanaume japo Mkewe alikuwa ameshafariki lakini pamoja na kwamba walianza nae Mahusiano lakini Mwanaume bado aliamua kutoitoa Picha ya Mkewe huyu Ukutani na kwamba hata walipokuwa wakimaliza Kufanya Mapenzi yao na ( Bhoke ) basi huyu Mwanaume ataamka Kitandani na kwenda Kuibusu ile Picha na Marehemu Mkewe na Kumuomba Msamaha.

Kwa mujibu wa Mtangazaji Bhoke anasema kwamba huyo Mpenzi wake alikuwa ' akimpenda ' sana yule Marehemu Mkewe hali ambayo ilimkera Yeye kwakuwa kila mara walipokuwa pamoja au akifanya jambo basi huyo Mwanaume Kwanza atamfananisha na Marehemu Mkewe hali ambayo ilimkera na ' Poti ' wangu Bhoke akaamua ' Kusepa ' zake.

Je kuna wengine ambao mmekumbana na hii hali aliyokutana nayo Mtangazaji Bhoke wa EAtv?

Nawasilisha.
 
Bora kua na MTU aloachwa sio alofiwa mana kusahau ni ngumu

Kwani aliyekuambia kuwa aliyeachwa hawezi Kumkumbuka aliyemuacha ni nani? Mimi nina Demu nilimuacha japo Mimi ndiyo nilimkosea lakini kila akiwa na Marafiki zake au akikutana na Marafiki zangu huwa anawaambia waziwazi kuwa bado ananipenda na atanipenda hadi Kufa / Kufariki Kwake ila anasema tatizo langu ' nampiga ' sana japo anakiri kwamba nilikuwa ' namkuna ' na ' namsugua ' vizuri Kimapenzi.
 
Kwani aliyekuambia kuwa aliyeachwa hawezi Kumkumbuka aliyemuacha ni nani? Mimi nina Demu nilimuacha japo Mimi ndiyo nilimkosea lakini kila akiwa na Marafiki zake au akikutana na Marafiki zangu huwa anawaambia waziwazi kuwa bado ananipenda na atanipenda hadi Kufa / Kufariki Kwake ila anasema tatizo langu ' nampiga ' sana japo anakiri kwamba nilikuwa ' namkuna ' na ' namsugua ' vizuri Kimapenzi.
we jamaa huwa unazingua sana
 
Alisha mshiba huyo jamaa, kama kweli alikua anampenda kwanini hilo laku kiss picha ya mkewe iwe issue kwake? inamaana alivyokua akipewa cash hakuchukia amechukia akiona jamaa ana kiss marehemu mkewe? sasa ni wivu au anasikia kichefuchefu kua service katoa yeye kiss anapewa Marehemu?
 
Hata ningekuwa mimi ningesepa kila mtu akisema akumbuke zilipendwa kutakalika kweli
 
wakuu naomba kukiri jambo;

Jana wakati Simba inacheza na Alliance sikuwa najua kama ni timu ya hapa nyumbani

umri unakimbia sana.
 
Back
Top Bottom