Mwanaume mzima anang‘aka, kisa?

Mwanaume mzima anang‘aka, kisa?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Imetokea kitaa, nimeshangaa sana, jamaa kavaa khanga anawaka kutukana familia yake nzima kisa, hajapelekewa maji bafuni, nilistaajabu, Mwanaume mzima unataka uchotewe maji kupelekewa bafuni, duh!
Angekuwa ni Mzee wangu ni lazima ningekinukisha, labda kama ni mgonjwa hapo sawa, ...
 
Angekua ni Mzee wangu.

Angekua ni Mume wangu.

Wanawake wa siku hizi mnajifanya mnapenda sana haki sawa.
 
wanaume wa dar mna taabu sana!!
Huu ni umama na wewe kudharau binadam wenzako unauhakika gani kama huyo niwa dar au hata kama niwa dar unataka kuhukumu watu wote milion 6 kwa upuuzi wa mtu 1!!??[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Imetokea Tanga mitaa ya korogwe nyuma ya nyumba mama zuena msusi



DAR kule mwendo wa vijinsi na Vinjunga
 
Kila mtu na utaratibu wake wa maisha kuna wanawake ni lazima waweke maji ya kuoga bafuni pale mumewe anapotaka kuoga
 
Kila mtu na utaratibu wake wa maisha kuna wanawake ni lazima waweke maji ya kuoga bafuni pale mumewe anapotaka kuoga
[emoji23][emoji23][emoji23] nafikiri ingetokea mkoani hii ungeshusha dongo!!


Kwasababu imetokea Darisalama unapita kwa kukimbia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom