Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Team kiumeni usikubali kwa namna moja ama nyingine kuendelea kupigwa mizinga ya hapa na pale bila kuona ndani kwa kigezo kuwa unachunguzwa kama una tabia nzuri ama la! Nitakubali kuchunguzwa...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Dadii, Kasie adores you, respect you, everything you even Chopin you..... aahahahahhahaaa Thanks for the call, am eagerly waiting for the day..... with sex and love.... I choose to love you...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Mimi kama kiongozi mwandamizi wa CCWT kwaniaba ya wanachama, tuna cha kusema kwa wanachama wa chama pacha na chetu. Sisi wana CCWT ( Chama Cha Wachepukaji Tanzania) tunatoa pole kwa wenzetu Wapiga...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za muda huu wanaJF. Kama mada inavyojieleza nimekuwa nikijiuliza kuhusu wazazi wengi at least 90% huwa wanakula nyama nzuri zaid kuliko watoto wao na hii hujitokeza pale ambapo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarini.... Nasikitika kusema kwamba wazazi wetu sisi vijana wa miaka kuanzia 1980's hadi sasa wametufelisha sana na kutuweka katika nyakati ngumu sana kwa kushinikiza maswala ya haki sawa bila...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana jamii forum.? Mimi sina mwezi kujiunga jamii forum ila kwenye Facebook nina miaka mitano kutumia mtandao wa FB ila kuna utofauti mkubwa jamii forum hipo juu kuliko FB ukiwa na tatizo...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Kati ya wnawake wawili (2) mmoja (1) kizazi kimeshuka, kati ya wanawake watano (5) watatu (3) kizazi kimeshuka na kati ya wanawake kumi (10) sita (6) vizazi vyao vimeshuka, Kushuka kwa kizazi ni...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanandugu salam kwenu,nataka niende tanga nikatafute mke lakini bado sijajua ni tanga ipi inawanawake wazuri,kianzia sura,tabia,na maumbo na sifa zingine zote zinazostahili kua nazo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
[emoji113]Kuna baadhi ya wanaume wananyanyasika kwenye mahusiano, Upendo wanao mwingi ila pesa inafanya washindwe kujivunia upendo walio nao. Ni dhairi kizazi cha sasa wanawake wengi wanapenda...
7 Reactions
41 Replies
7K Views
Omari ni kijana nadhifu sana mtanashati wa huku kwetu Manerumango. alisomea ufundi wa gari na udereva VETA. Alipata ajira kwenye gereji ya Mangi akitafuta kazi kwenye mashirika au Serikalini...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Wana MMU salamu kwenu Siku za hivi karibuni nimekua na tatizo ambalo siliewi linatokana na nini Nikiwa na demu ndani kwangu nataka kumgegeda ghafla hisia zinapotea na naperform poor hadi demu...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Mara nyingi wengi wetu tumekuwa katika mahusiano na wapenzi wetu lakini hali sio kama ile ya awali wakati mnaanza mapenzi yenu. Wanawake wengi wanalalamika kuwa hawaoni upendo ule waliouzoea...
3 Reactions
10 Replies
17K Views
Mimi maisha yangu kama hiyo gif juu hapo. Mimi hata nijisomee mwaka mzima mtihan ukija unaninipiga kibao paaaahhh bila ya huruma haijali nimesoma au sikuwahi kusoma sijawah kufaulu mimi mpaka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna mtu ana mawazo kama yangu? Nashangaa sana watu wanazaa watoto wengi huku wengine wakishindwa kuwapa huduma nzuri na za msingi. Mimi nimeplan katika maisha yangu sita zaa mtoto zaidi ya mmoja...
11 Reactions
94 Replies
10K Views
Eti mtu anaandika; Kama kweli we ni mwanaume nitumie laki moja. Hivi uume wangu umefungwa kwenye pesa? Mwingine ... Kama ni hivyo futa namba yangu sitaki mawasiliano na wewe ... Nitaifutaje...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
CHEKI MASTAA WA BONGO WANAVYOCHAT KWA GROUP LAO..[emoji23][emoji23] . . lulu: hello guys morn amber lulu: typing... Diamond:mambo vip lulu Zari:typing...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ilikiwa wiki iliyopita mwishoni nikiwa natoka ibadani nilimuona msichana mmoja ambaye sura yake haikua ngeni kwangu ila nilihisi kama nimemfananisha tu,nikaendelea na mishe zangu sasa jioni ya...
9 Reactions
107 Replies
13K Views
Kumbe kupata mke/mume ni ngumu kuliko kujenga,kununua magari au kutafuta pesa kiujumla! Nawasoma vijana wake kwa waume wanalalamika hawapati wenza wa maisha huku wakisema wamejijenga kimaisha...
35 Reactions
320 Replies
21K Views
Kuna mdada alikuwa anachangia sana humu JF, nilitokea kupenda sana uandishi na michango yake na nikajikuta naanza kumPM. Alikubaliana nami na tukapanga siku tukutane, alikuja na usafiri wake mpaka...
16 Reactions
336 Replies
53K Views
Leo nimeamka mshedede ukiwa na hasira moja matata ,yaani kitu kiko konk mpaka nashindwa kuamua nitumia njia ipi kuipiga chini itulie, Sijaoa bado japo nina mpenzi lakini yuko mbali, siwezi...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Back
Top Bottom