Taitaji nikaoe tanga

Taitaji nikaoe tanga

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,069
Reaction score
670
Wanandugu salam kwenu,nataka niende tanga nikatafute mke lakini bado sijajua ni tanga ipi inawanawake wazuri,kianzia sura,tabia,na maumbo na sifa zingine zote zinazostahili kua nazo?
 
Nenda Bumbuli au Lushoto huko, vibinti vya Tanga mjini vina mambo ya ki Amber Rutty sana.
 
Naona unataka kutafuta mke kama vile watu wanavyoenda kutafuta Tangawizi kipindi cha mavuno.

kila la kheri katika hitaji lako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom