Komoa gani hii jamani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
Omari ni kijana nadhifu sana mtanashati wa huku kwetu Manerumango. alisomea ufundi wa gari na udereva VETA. Alipata ajira kwenye gereji ya Mangi akitafuta kazi kwenye mashirika au Serikalini.

Omar alibahatika kupendwa na mama wa ki Danish aliyekuwa mteja pale garaji mapenzi yalidumu hatimae walifunga ndoa na kupata watoto yule mama ni professor huko kwao ila anamkataba wa research inayofadhiliwa na WHO.

Karats ilimpomgeukia Omari kila mtu alishangaa Mangi pia siku hizi anamuita Omari boss wake 😂.

Tangu akiwa shule Omari alimpenda sana Lilian Lilian mama yake ni mwalimu na baba mfanya biashara maarufu. Lilian alishamkataa Omari kitamboo.

Sasa hivi Liliani amerudi nyumbani holiday, anapewa lift na Omari. Haamini macho yake. Omari wewe ndiyo unasukuma Mercedes Benz!

Liliana alikubali kumuonjesha Omari japo alikuwa na mchumba matatizo habari ilivuja namchumba alipata habari.

Mchumba aliumia sana kusalitiwa alikodi watu, walimteka Omari, walimfanyia ushenzi huku wakimrekodi na picha walimtumia mke wake wakieleza sababu ya wao kufanya vile mke alibeba wanae akaenda kwao alifunga madirisha ya mawawasiliano kabisa na Omari.
 
Aisee Doctor stori ya Leo sjaielewa ,ongezaongeza nyama basi mkuu,Omary walimfanyaje vile?
 
Omari ni kijana nadhifu sana anaishi huku kwetu Manerumango. *Alison’s* ufundi wa gari na udereva VETA. Alipata ajira kwenye *heretic* ya Mangi akitafuta kazi kwenye mashirika au Serikalini.

Omar I alibahatika kupendwa na mama wa ki Danish aliyekuwa mteja pale garaji. *Maoenzi* yalidumu hatimae walifunga ndoa na kupata watoto. Yule mama ni professor huko kwao ila anamkataba wa research inayofadhiliwa na WHO.

*Karats* ilimpomgeukia Omari kila mtu alishangaa. Mangi pia siku hizi anamuita Omari boss wake 😂.

Tangu akiwa shule Omari alimpenda sana Lilian. Lilian mama yake ni mwalimu na baba mfanya biashara maarufu. Lilian alishamkataa Omari kitamboo.

Sasa hivi Liliani amerudi nyumbani holiday, anapewa lift na Omari. Haamini macho yake. Omari wewe ndiyo unasukuma Mercedes Benz!

Liliana *alikubi* kumuonjesha Omari japo alikuwa na mchumba. Matatizo habari ilivuja namchumba alipata habari.

*Mchumaw* aliumia sana kusalitiwa. Alikodi watu, walimteka Omari, walimfanyia ushenzi huku wakimrekodi na picha walimtumia mke wake wakieleza sababu ya wao kufanya vile. Mke alibeba wanae akaenda kwao. Alifunga madirisha ya mawawasiliano kabisa na Omari.

.. speed ya leo 😏😊
 
Hivi vikojoleo siku hizi vinasababisha uhasama mkubwa sana baina ya me na ke halafu vina viherehere hatare.
 
Dahhh sasa jamaaa kwanini akofishe watu wakumchapa nao Omary?kwanini asingekodisha wakumchapa nao yule demu wake Lillian?
 
Back
Top Bottom