Kuna utofauti mkubwa kati ya Facebook na jamii forum

Kuna utofauti mkubwa kati ya Facebook na jamii forum

public zungu

Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
42
Reaction score
42
Habari wana jamii forum.? Mimi sina mwezi kujiunga jamii forum ila kwenye Facebook nina miaka mitano kutumia mtandao wa FB ila kuna utofauti mkubwa jamii forum hipo juu kuliko FB ukiwa na tatizo lako lete jamii forum na nilichogundua watumiaje wengi wa FB ni mataira,wendawazimu.unajua huwezi kuniamini ila nenda kapost Picha yoyote tena ukiandika andika x uone maajabu ya picha hii dk kumi haifiki mataira tiyari wameandika.jamii forum kuna wasomi na waelewa lkn kule hatari
 
Uandsh wa smartphone ttzo unaweza kuandik kama ghafla linakuj kum*
 
Kijana ameyakoga maneno shombo balaa... Hiyo ndio JF kijana, kila mtu mwalimu kifimbo cheza.
 
Back
Top Bottom