Kabla hujaandika ujumbe wa maandishi (SMS) na kuituma tafakari kwanza

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Eti mtu anaandika; Kama kweli we ni mwanaume nitumie laki moja.
Hivi uume wangu umefungwa kwenye pesa?

Mwingine ... Kama ni hivyo futa namba yangu sitaki mawasiliano na wewe ...
Nitaifutaje wakati nimeikariri kichwani?

Ongeza na wewe!
 
Hahaha,nimeambulia kucheka kwanza nitaongezea baadaye
 
Ndo wanawake wa siku izii mkuu wavumilie tuu hakuna namna
Wanaoa sana!
Ona usinipigie tena staki mawasiliano na wewe! Ok; unauchuna mara siku moja ...
Oh unajua binti yangu anataka kuhamia mjini nimeambiwa unafahamiana na fulani; naomba unisaidie ili tumtafutie shule ... sasa si ulisema hutaki tena mawasiliano?

Oh ! baby nimefungua kiduka uwe unapita unanichangia ... sijui ni nini jamani?
 
Hahaha,nimeambulia kucheka kwanza nitaongezea baadaye
Usicheke; yaani kuna membo mengine huwa nashindwa kuwaelewa hawa mademu....
Anaanzia mbali
Hi;
unanyamaza
Anakufuata FB
Unanyamaza
Anabeep;
Unaamua kumpigia .. anachangamka utafikiri sio huyo alokwambia hataki mawasiliano. Mapepo au?
 
Tuachane na hilo mkuu
Hivi Yale matatizo yalishaisha ya kwenda kupumzika

Sijapata feedback hadi Leo,na nakuona au nawe ilikuwa ......
 
Back
Top Bottom