Elezea maisha yako kwa kutumia picha

Elezea maisha yako kwa kutumia picha

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
videotogif_2018.10.30_23.19.21.gif


Mimi maisha yangu kama hiyo gif juu hapo. Mimi hata nijisomee mwaka mzima mtihan ukija unaninipiga kibao paaaahhh bila ya huruma haijali nimesoma au sikuwahi kusoma sijawah kufaulu mimi mpaka nachukia hili neno SCHOOL. Hivi nani alianzisha kusoma? Alianzisha alaniwe milele. Na wewe eka picha au gif au video ambayo inaelezea maisha yako ujumla
videotogif_2018.10.30_23.19.21.gif
 
mm mitihani nilikuwa naipiga mitihani kibao kama hivyo.

ila maisha yananipiga kibao kama hivyo.
 
Mimi pia sijakata tamaa ila saa nyingine naona kama napoteza muda tu
Hahaa mkuu mimi pia nilishawahi kuhisi hivyo, ila kinachotakiwa ni kubalance i mean kujifunza pia na maarifa mengine maana siku hizi ukitegemea i
kitu kimoja tu umekwisha.
 
Pengine unachofanya sio riziki yako au ongeza jitihada na omba MUNGU Zaidi akufungulie Baraka.
Umenigusa sana kwa sababu nimesoma na watu waliorudia mitihani mara nyingi sana mpaka wanaumiza moyo.
 
Back
Top Bottom