Huyu demu nimuanzaje

Huyu demu nimuanzaje

SINA JAMBO

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
338
Reaction score
270
Natanguliza salamu wana jf wenzangu

Mimi ni radio presenter wa radio kubwa kwa huku kwetu na nimekua famous kwa sababu hii kazi kua maarufu ni kawaida..
kupitia hili nimekua nikila videmu na mara kibao hawanizinguagi sasa kuja humu kuna manzi nataka kugegeda ila nashindwa nimuamzaje coz naona kabisa sio type yangu ana mwili mkubwa kunizidi yaani mi ni kama harier ye fuso ni mzuri kinoma sasa yeye ni mwimbaji wa nyimbo za dini tena kaanza kitambo na hanaga mazoea na watu zombie aliishiwi damu nilimtafta na kuchukua namba coz nilimuahidi kumfanyia promotion na interview sasa wiki 3 zimepita now angalau tumezoeana na kwake nimefika nikimpigia simu ananilazimisha nimpe shkamoo na nazidi kuhisi haniwazi


asa nifanye nini ili nimgegede





I AM SINA JAMBO
 
#redio presenter,, redio gani mkuu ?,what is your age?,kwanini umeamua kuchafua tasnia ya utangazaji?,acha sifa zakijinga
 
Miradi ayo hiyo fuso utaweza kweli? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
ikikaa njiani naweza endesha coz hata ivo nmeendesha gari tofaut tofaut...nipe mbinu mkuu niiwikaje njian



I AM SINA JAMBO
 
#redio presenter,, redio gani mkuu ?,what is your age?,kwanini umeamua kuchafua tasnia ya utangazaji?,acha sifa zakijinga
Mkuu kugegeda hakuna sector ilo salama... ila nikitaja radio ndo ntakua nachafua radio



I AM SINA JAMBO
 
Back
Top Bottom