Jamaa wameamua!

Jamaa wameamua!

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Hawa jamaa Nasikia Wanajiandaa kwenda Kumshtaki Makonda pale Ofisi za Umoja Wa Ulaya - Posta.

Hakika wanatudhalilisha wanaume wenzao wapewe khadhabu gani hawa watu....?.
FB_IMG_1541052266326.jpg
 
Waovu Wakubwa

Ilikuwa bora sana,wapigwe risasi wote
au wahukumiwe kunyongwa mpaka kufa

Hakuna thamani katika jamii,wanayoishi hao Mashetani
 
Uchungu wa mtu kama huyu utaufeel pale anapokuwa ni mwanao, kaka yako au jamaa yako wa karibu! Acheni tu!
Hujakosea ndugu.

Najaribu kuwaza kama angekuwa kaka au ndugu yangu, sipati majibu.
 
Back
Top Bottom