Kipindi cha nyuma kidogo nilienda mkoa mmoja hivi kikazi. Huko kazini nilikutana na mzee mmoja ambaye nae alitoka mkoa mwingine kuja kufanya kazi huko.
Mzee alikuwa anakaa guest ikabidi na mimi nikae guest hiyohiyo wakati mchakato wa kutafuta nyumba ya kupanga ukiendelea.
Baada ya kama mwezi hivi tulipata nyumba nikagawana vyumba na mzee tukawa tunaishi humo.Baada ya kupata nyumba nikaamua kumleta wife, mzee nae akamleta wife wake,hapo ndipo nilipoanza kushuhudia na kusikitika namna mzee anavyopata tabu kutoka kwa mke wake(mzee alioa huyu mdada baada ya mke wa Kwanza kufariki).
Huyu mwanamke alikuwa anamtukana matusi makubwa mzee pindi wanapokorofishana na mzee hafanyi chochote. Nikawa nasuluhisha mara kwa mara ingawa mzee ni kama mzazi wangu.
Mwanamke hataki watoto wa mzee (aliozaa na mke marehemu) waje hata kuwatembelea achialia mbali kukaa, yuko yeye na mzee ila hapiki, hafui hivyo vyote vinafanywa kwa hela na watu na hana kazi yoyote bali kuzurura tu.
Kuna siku wamekorofishana mzee akashindwa kuvumilia matusi makubwa tena mbele za watu kama kum..make, mseng.. si mzee akarusha ngumi duh mwanamke akaenda polisi mzee akawekwa ndani mwanamke akaondoka nyumbani.
Nikamtafuta mfanyakazi mwenzangu mwingine tukaenda polisi tukamtoa mzee.
Kipindi tumetoka polisi mfanyakazi mwenzangu (mzee hivi) akawa anamshauri mzee kuachana na huyo mwanamke, kwanza hawana mtoto nae na anamdhalilisha tena mbele za watu na mzee akaapa kabisa kutomtafuta huyo mwanamke ili arudi nyumbani.Baada ya siku mbili mzee akamtafuta mke wake na kumrudisha nyumbani duh hapo ndipo tukajua si bure lazima kuna limbwata.Baada ya wiki kadhaa mimi na mfanyakazi mwenzangu tulihamishiwa mbali kidogo na kumuacha mzee huko na baada ya miezi kadhaa tukasikia mzee kaenda kanisani (bila kualika hata ndugu,wafanyakazi wenzake) akafunga ndoa na sherehe na huyo mwanamke duh maajabu haya.
Baada ya miezi kadhaa Kazi ikaisha tukasambaratika kila mtu akashika hamsini zake, sasa juzi hapa kuna classmate ambae anafanya kazi na mzee (anajua nimewahi fanya kazi na huyo mzee) ananipigia simu anasema man mbona mke wa mzee anatabia mbovu hivi? Nikajibu kwa nini akasema kakusanya mtaa anamtukana matusi makubwa mzee, akaendelea kusema mzee siku hizi anakunywa pombe balaa na muda mwingine kutoa machozi.Dah nikabaki kusikitika tu maana mzee lazima anamkumbuka sana mke wake marehemu na mbaya zaidi mke mpya amemtenganisha na watoto wake hataki kuwaona.
Watoto wakubwa wa mzee wanajua kabisa kuwa mke wa mzee sio maana mwanamke huyu huwa anawatukana kwenye simu, sasa wangefanya nini ili mzee asingefunge ndoa na huyu mwanamke?