MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
Huwa najiuliza sana kuusu ili lakini bado nabaki njia panda sipati majibu.
Hivi wanawake ususani wasichana wa siku hizi kwa nini mnapokutana na mwanaume mkatongozana na kuafikiana kuwa wapenzi cha kwanza unaanza kumuuliza unafanya kazi gani kinachofuata je utaweza kuniudumia..?
Sasa mimi binafsi najiuliza kwa maana nyinyi mnachotaka ni mwanaume wa kuwaudumia kuwatunza yaani mnataka kubandika kope, kupaka MakeUp, kuvaa nguo za bei, kula bata uku na kule, na si kuitaji mwanaume wa kufanya nae maesha mkapata maendeleo pamoja ili baadae mje muenjoy pamoja na Familia mtakayojaaliwa.
Mimi naamini kwamba mwanamke anayekuja kuridhia kuwa na wewe kimapenzi kisha akaanza kukuambia maswala ya utaweza kumuudumia iki na kile uyo afai Achana naye mara moja atakufirisi maana ya kwamba yeye ana malengo na wewe anajua hata kama ukifilisika yeye ana asala atapata mwingine kwani anampaka wa kufanya maisha na wewe ivyo yupo kwako kwa ajili ya kukutumia tu kula pesa zako.
Pia mwanamke aliyekukubali na kukupenda toka moyoni yupo tayari kukupokea kwa hali yoyote ile utakayo kuwa nayo tunasema mapenzi ayachagui mwanamke akipenda popote atakaa hata kwenye banda la udongo.
Sasa ni hivi mwanamke alie kukubali na kuwa na nia ya dhat na wewe atakujali atakua na uluma na wewe pia atakua na uchungu na uchu na kujali maendeleo yako kwani anaamini kufanikiwa kwako ndio kufanikiwa kwake kwa baadae mtaishi pamoja na kupata familia ivyo itakua ni faida yako na yake kwa kuishi pamoja na mtaenjoy wewe na yeye pamoja na woto wenu
UUKIBISHA NJOO NA FACT YA KUELEWEKA...........[emoji122] [emoji122] [emoji122]