Unaempenda Nae ana Mtu wake anae Mpenda

Unaempenda Nae ana Mtu wake anae Mpenda

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Posts
1,669
Reaction score
1,418
Habari za Muda huu !

Nimekuwa nikifikiria sana Kuhusiana na Haya Mahusiano Kwa Sisi Vijana ambao hivi karibuni tunatarajia kuingia katika Ndoa Hivi karibuni


Sasa tatizo linakuja Kwa hawa Mabinti " katikati yao kuna
1.Wasichana walo danganyika Foolish age ... tayari walishararua Mioyo yao,

2.pia kuna wadada wengine washapenda kwingine (mbaya zaidi,Wanasubiri wale Wanaume wa accepte Request zao )!.

3.Kuna wengine wanafanya kubahatisha,Wako tayari na Swaga za Wanaume karibia 3 sasa yeye anafanya kubahatisha au kupima yupi sahihi Kati ya flani na Flani na Flani ... Hapa wanapima zaidi swagaz ! Kuhonga na Care "


Naumia sana Nikipenda mdada anakuwa haoneshi hisia zake " Hidden Feelings" yaani unakuwa hujui wapi anahitaji wapi hahitaji dah! Mbaya zaidi kumbe yuko namba 3 hapo juu


Ushauri wangu Kwa Wanaume wenzangu ni Bora kupenda yule Mwanamke anaekupenda !! Kama unaona hana misuko suko sana Oa !


Ushauri Kwa Wanawake " Sio kila Mwanaume unae muona Mbele yako ni Mbaya au atakuumiza ! Wengine tupo Kwa ajili ya kutafuta Future wife !



Asubuhi Sana



====================================
Moderator na hii Mtaunganisha wapi !? Mniambie kabisa
 
Complicated
IMG-20181031-WA0024.jpeg
 
Mkuu Pesa Ninazo sana Ila huwa sipendi kujionesha Kama zipo ! Mwanamke ambae atajua unapesa atakutesa Bora asijue Kabisa Ila mkishaoana ndo ajue
Safi....utapata utakae endana nae lakini utachelewa sana
 
Back
Top Bottom