Sikupendi..,[emoji26]

Sikupendi..,[emoji26]

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
632
Sikupendi… (hmmmm)
Sikupendi… (aaaahh)
Sikupendi… (eeeehh)
Sikupendi (Max Maixer)
Sikupendi

Kichwa wanipasua..,
Unanichapa fimbo
Moyoni napata tabu,
Unajishaua unamalingo
Kama una sura ya Dhahabu,
Ni miaka sasa nakufata
Ndala zangu zote umekata,
Kutoka tegeta hadi tabata
Mpaka visigino vimechacha,

Mara nasikia kuna bakari kinyozi..,
Ulishampa Hadi kaka yake Rose
Kwani we ni pilipili unitoe machozi,
Nikikufata waniletea mapozi..,

Mapenzi uvumilivu unajua,
Ila kwako numeshidwa
Upendo sasa majivu umeungua,
Basi mama we ndo Bima [HOOK]

Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng’o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi)

Hadi nahisi gundu mzee mwenzenu,
Kila mambo nikiset
Nimegeuka mlinzi nyumbani kwenu,
Kila siku kwenye geti
Nilikufata mpaka kigogo,
Kwenye shughuri yake mama Asha Modo
Ukanitukana matusi nina shobo,
Pembeni yupo bwana yako Bengo Chogo
Akanitimba migumi kede kede,
Nikawa mjinga tena bwege bwege
Kama nimetinga pombe bege bege,
Alinishinda nikawa lege lege Heee eeeh
Nakata tamaa kuwa nawe,
Nikirudisha kumbukumbu
Nilipo kuona na masawe,
Kwenye guest ya manungu
Ulifanya nipagawe,
Kwa mawazo na uchungu
Nilikesha nje oh mama wee,
Nikawa chakula cha mbu

Mapenzi uvumilivu unajua, Ila kwako numeshidwa
Upendo sasa majivu umeungua, Basi mama we ndo Bima [HOOK]

Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng’o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi)
Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng’o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi)


Rayvanny..,[emoji119][emoji119]
 
Sikupendi… (hmmmm)
Sikupendi… (aaaahh)
Sikupendi… (eeeehh)
Sikupendi (Max Maixer)
Sikupendi

Kichwa wanipasua..,
Unanichapa fimbo
Moyoni napata tabu,
Unajishaua unamalingo
Kama una sura ya Dhahabu,
Ni miaka sasa nakufata
Ndala zangu zote umekata,
Kutoka tegeta hadi tabata
Mpaka visigino vimechacha,

Mara nasikia kuna bakari kinyozi..,
Ulishampa Hadi kaka yake Rose
Kwani we ni pilipili unitoe machozi,
Nikikufata waniletea mapozi..,

Mapenzi uvumilivu unajua,
Ila kwako numeshidwa
Upendo sasa majivu umeungua,
Basi mama we ndo Bima [HOOK]

Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng’o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi)

Hadi nahisi gundu mzee mwenzenu,
Kila mambo nikiset
Nimegeuka mlinzi nyumbani kwenu,
Kila siku kwenye geti
Nilikufata mpaka kigogo,
Kwenye shughuri yake mama Asha Modo
Ukanitukana matusi nina shobo,
Pembeni yupo bwana yako Bengo Chogo
Akanitimba migumi kede kede,
Nikawa mjinga tena bwege bwege
Kama nimetinga pombe bege bege,
Alinishinda nikawa lege lege Heee eeeh
Nakata tamaa kuwa nawe,
Nikirudisha kumbukumbu
Nilipo kuona na masawe,
Kwenye guest ya manungu
Ulifanya nipagawe,
Kwa mawazo na uchungu
Nilikesha nje oh mama wee,
Nikawa chakula cha mbu

Mapenzi uvumilivu unajua, Ila kwako numeshidwa
Upendo sasa majivu umeungua, Basi mama we ndo Bima [HOOK]

Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng’o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi)
Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng’o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi)


Rayvanny..,[emoji119][emoji119]
Umetoswa mkuu?[emoji4] [emoji4]
 
Haunyimw vyote, kama utakosa akil bas unapewa upumbavu
 
Yani na masters yangu nije nikufuliee..!! Wacha nikae tu kwa baba na mama..,[emoji23][emoji23]
Ha ha ha sasa ulitaka nikupe kazi gani mkuu maana we mlaini kufyatua tofali tu huwezi, nmeona humo kwenye udobi unafit vyema usimaindi lakini!
 
Ha ha ha sasa ulitaka nikupe kazi gani mkuu maana we mlaini kufyatua tofali tu huwezi, nmeona humo kwenye udobi unafit vyema usimaindi lakini!
Hahahaaaa sawa mkuu wacha niendelee tu kula ugali wa bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom