habari jf napenda kujua ila kila ninapojaribu kuuliza viongozi wa dini hunijibu kuwa nimshirikishe Roho mtakatifu ndipo atanionesha yupi sahihi kwangu. lakini kwa kweli bado sielewi ndio mana nimekuja kwenu nisikie nanyi mnasemaje. shukrani
Endeleen kuunganaNapenda kuungana nawe kwenye post yako, mie pia natamani kujua hilo
ahsante mkuu nimekuelewa ila tunaamini kila mmoja anafungu lake sasa naweza penda ambapo si pangu...ndio mana nahitaji kujuaNjia rahisi ukimuona mwanamke ukajishisi kamoyo kamempenda mfuate umpange mfanye maisha. Hizo complications za viongozi wa dini ni ujinga.
Hao hao wanazini na wuamini wao unataka wakupe ushauri gani. Oa mwanamke unaempenda mkuu.
Kwa kuomba, kusali na kufunga..!habari jf napenda kujua ila kila ninapojaribu kuuliza viongozi wa dini hunijibu kuwa nimshirikishe Roho mtakatifu ndipo atanionesha yupi sahihi kwangu. lakini kwa kweli bado sielewi ndio mana nimekuja kwenu nisikie nanyi mnasemaje. shukrani
Sasa mkuu kama yupo umpendae unataka Mungu akusaidieje?ahsante ila katika kuomba nimesikia usitangulize mtu umpendaye au kutaja jina la umpendae katika maombi ya kutafuta mwenza yani nisiende na jibu mbele za Mungu duuh hapa sasa napo pagumu kuunderstand
sawa lakini si kila umpendae nae anakupenda. na pia ninachotaka jua ni namna/njia ipi itaonesha kuwa huyu ni sahihi na huyu hapanaSasa mkuu kama yupo umpendae unataka Mungu akusaidieje?
Kama umpendae yupo basi hayo ndio maombi ulioomba yamejibiwa usifikiri Mungu atakuletea hadi kitandan.
ukienda na mtuvau jina ka mtu maana yake huitaji Mungu akusaidie hapoahsante ila katika kuomba nimesikia usitangulize mtu umpendaye au kutaja jina la umpendae katika maombi ya kutafuta mwenza yani nisiende na jibu mbele za Mungu duuh hapa sasa napo pagumu kuunderstand