Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mpo poa! Zamani wazee walitoa elimu kwa vijana na mabinti wadogo pindi wanapopevuka. Elimu hii ilisaidia sana vijana kwenye maisha halisi ya kujitambua na namna ya kutumia rasilimali zilizopo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu natumai nyote mko wazima kabsa... Kwenye mada moja kwa moja Me kwakweli elimu hii ya unajimu sio kiivo ila naijuamo Kuna watu wengi mnapitia struggles mbalimbali kwenye mahusiano...
1 Reactions
66 Replies
6K Views
Habari wakuu, Mwanzo nilitoa uzi kuhusu kuachana na mchumba siku 14 kabla ya harusi. Nashukuru nimerudisha michango kwa asilimia 40 kwa marafiki,na asilimia 60 kwa ndugu zangu baada ya wao pia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanamke mwili wako wa thamani utunze usiruhusu kila mwanaume auchezee Itakugharimu
1 Reactions
7 Replies
1K Views
??
Je wajua?, ' hofu ya Mungu inasaidia' katika kuwa na mahusiano sahihi.......
1 Reactions
4 Replies
777 Views
Habarini wana JF Najua wengi wetu si wageni au atuko mbali sana katika jambo la malumbano katika mahusiano kutokana na changamoto mbalimbali, kuna wengine wakaweza tatua changamoto nakuendelea...
3 Reactions
121 Replies
8K Views
I love being called a mom Wazungu wanasemaga being called a mom is a precious thing ever Siwezi kuelezea raha ya kuwa mama, ni ufahari, ni utajiri ni kila kitu ambacho naweza kuandika hapa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadada na wakaka wenzangu... HII KITU INANICHANGANYA... WADADA: HIVI KATI YA ALIYEKUBIKIRI AU ALIYEKUPA MIMBA YA KWANZA... NI YUPI HUTOMSAHAU NA KUMHESHIMU MAISHA YAKO YOTE...? WAKAKA: HIVI NI...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Katika kipindi hiki cha kwaresima ndg zangu nilipanga nisipost kitu chchte hapa jamvini kwetu lakini kwa kilichotokea jana nimeona nikilete tu..... Jana mida ya saa 7 au 8 hivi za ucku tukasikia...
25 Reactions
161 Replies
18K Views
hivi unafanyaje kama ulikua na mpenzi wako alafu baada ya kuwa kwenye mahusiano mda mfupi tu na yee akadai penzi na wewe ujawahi kusex unaogopa sas akakuita mkutane gest ulipoenda ukagoma kusex...
1 Reactions
82 Replies
7K Views
Itifaki imezingatiwa. Nina Mdogo Wangu Wa pili Ambae Nilikua Naishi Nae Hapa Nyumbani Kwangu Kwa kipindi Kilicho Pita. Baada Ya kujipanga Kimaisha Akaamua Atafute Chumba Cha Kupanga Ili mambo...
1 Reactions
93 Replies
10K Views
Mwaka flani nilipewa kazi ya kusambaza invoice kwa wateja wetu kwa njia ya kieleketroniki (emails), moja kati ya wateja hao ilikuwa ni kampuni moja hivi inayojishughulisha na clearing and...
13 Reactions
49 Replies
8K Views
Kwa kawaida huku mtaani tumezoea unaambiwa mwanamke msomi au mwente hela hafai kuoa ofcoz shida kubwa hapa ni swala la inferiority na superiority. Lakini angalau basi mwanaume uwe hapo na kimoja...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua Mpaka inafika...
19 Reactions
411 Replies
35K Views
WANASAYANSI nchini hapa israel wanaamini wanakaribia kupata tiba ya kutokomeza virusi vya Ukimwi (VVU). Imani hiyo imekuja baada ya timu ya watafiti kumaliza jaribio la kimaabara mwilini mwa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Salamu sio muhimu sana i hope amani imetawala Niko na girlfriend wangu me naishi Dar na yeye yuko mkoani huyu manzi sijajuana nae jana bali kitambo sana tumesoma wote primary baadae familia yake...
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Kwa wale wenye uzoefu watakubaliana na Mimi. Mzunguu akija Africa akiamua awe na mpenzi machaguo yao ni tofauti na matarajiao ya wengi (sisi African's) Utakuta mdada wa kizungu akiamua kupenda...
2 Reactions
15 Replies
9K Views
Konkii konkii konkii Jamaa anawatumbua uku akijiamini bila wogo wowote Aiseee sijui kawajuaje hawa waandishi wa Habari kama wamesha tolewa malinda
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanabodi salaaaam Lengo la uzi huu ni kutaka kushirikishana confession au kwa Kiswahili "kukiri" kwako kwenye mambo ya mahusiano. Mfano mimi nakiri nilimkaza demu wa rafiki yangu kwa miezi 6 bila...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana MMU mi niko sawa kiafya. Ni mara nyingi sana mke wangu amenifuma na SMS kutoka kwa wanawake tofauti ingawaje sio wote ni michepuko yangu ila wamo wengine walikua michepuko wangu na...
0 Reactions
82 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…