Salama ya ndoa ni mke amuheshimu mume

Salama ya ndoa ni mke amuheshimu mume

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,208
Kuna amri kuu mbili za kuzingatia ili ndoa idumu. Kwanza, ni lazima mke amheshimu na kumtii mumewe

Pili ni wajibu wa mume kumtunza mkewe kwa kila hali. NB: kulingana na uwezo wa mwanaume husika.

Ni busara pia kwa mwanamke kuridhika na hali ya kiuchumi ya mumewe.
Mke akiwa na tamaa ni chanzo cha mifarakano katika ndoa. Jadili...
 
S wangu nitakupenda daima kwa kwelk u a more than a Wife material. Love you nataman hata nikutag hapa
 
Hapo ni lazima kuheshimiana kwa wote, suala la matunzo ni haki yetu wanaume kuwatunza hata kama mwanamke anamshahara wake lakini matunzo na pesa za matumizi ni wajibu wa mwanaume Kumpa mkewe au mchumba wake .
 
Wanawake wa siku hizi niwa bishi jmefika hatua mpaka wanaume tunakosa sauti
 
Hapo ni lazima kuheshimiana kwa wote, suala la matunzo ni haki yetu wanaume kuwatunza hata kama mwanamke anamshahara wake lakini matunzo na pesa za matumizi ni wajibu wa mwanaume Kumpa mkewe au mchumba wake .
Ni wajibu wa kikatiba kwa mwanamke kumtii mumewe. Come rain come sun! Mwanamke kama haliwezi hili bora akae peke yake.

Only submissive wives lay foundation of happy and prosperous marriages. Wanandoa mki swap majukumu kunakua hakuna ndoa. Mark my words...
 
Upo sahihi mkuu, wala sipingani na wewe.
 
Ni wajibu wa kikatiba kwa mwanamke kumtii mumewe. Come rain come sun! Mwanamke kama haliwezi hili bora akae peke yake.

Only submissive wives lay foundation of happy and prosperous marriages. Wanandoa mki swap majukumu kunakua hakuna ndoa. Mark my words...

Mke mtunze tu atakuwa submissive tu. Shida ni pale mnapogawana majukumu pasu kwa pasu ndio wanawake wa kisasa wanakuwa na sauti. Na kama ndio kichwa maji basi ndio balsa zaidi
 
Back
Top Bottom