Kumbe kupima vvu na kuchukua majibu ni simple tu

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
May 11, 2014
3,269
7,771
Katika maisha kuna mambo usipokuwa makini yatakupa presha sana na kukujengea hofu ya maisha. Kuna watu husema mitaani, vijiweni, mitandaoni na kwenye mikusanyiko mbalimbali juu ya zoezi zima la kupima VVU. Na nilipata kusikia sio mara moja tu juu ya hofu wakati wa kupima na kuchukua majibu. Wengi walisema kupima simple ila majibu unaweza kuyakimbia au kuahirisha zoezi kabisa.

Leo kwa Mara ya kwanza nimeenda na wife clinic ili aanze kuhudhuria clinic maana ni mjamzito. Sasa baada ya kukabidhi barua ya ya utambulisho na wife kwenda maabara ikaanza seminar juu ya VVU na UKIMWI. Baada ya seminar nesi akatuuliza kama tupo tayari kwa vipimo, tukajibu "ndio" na zoezi likaanza. Baada ya kuchukuliwa damu kwaajiri ya vipimo, nilikuwa normal kabisa as if hakuna kinachoendelea. Baada ya km dk kadhaa ndio muda wa kupata majibu, bado nilikuwa normal tu na sijaona ugumu wowote katika zoezi zima. Kwani wanaosema "Kupima sio kazi kuchukua majibu" huwa wanakutana na ugumu kivipi? Mbona simple tu!!. Wapelekeni wake zenu clinic mambo ni simple tu kule.

UPDATES 28 JANUARY 2019

Aisee mtoto aliyefanya nikapime kazaliwa Jana. Amezaliwa Jana mida ya saa kumi jioni, ni mtoto wa kiume ila bado hana jina.
 
Usijiaminishe boss, wanawake hawaaminiki siku hizi ukute hugongi nje halafu anakuletea ngoma kibaya zaidi hata mtoto sio wako. Shukuru Mungu uko salama chief lakini tabu iko pale pale
 
Hahaaaa

Mimi nilipima Aga Khan... Nilikua naumwa sasa katika vipimo nikaonekana sina tatizo daktari akanishauri kwanini nisipime na HIV nikasema Mungu wangu au keshaona ninao nini..... nikasema nitakuja siku nyingine akaanza kunipq ushauriii wee baadae nikakubali kishingo upande.

Nikaelekezwa sehem ya kwenda, kule nako nikapewa ushauriii wee na huyo bibi nikamwambia naomba nijifikiriw nitarudi. Sasa huo muda ukawa umeenda maaana daktari wangu alikua anaingia asubuhi akifika mchana anaondoka anaingia mwimgine... Nikasema mimi mle ndani kupima sirudi. Na sasa mchana yuko Dk mwingine hatojua kuhusu mambo ya kupima ukmwi...Nikarudi chumba cha daktari nikamuonyesha majibu mengine. Akanambia kuna kipimo Dk Jane (aliekuwepo asubuhi) alinambia utafanya majibu yake vipi.... Lahaulaa nikasema mimi leo nimeona nisipime nitakuja siku nyingine.

Nae akaanza kunipq ushauri. Kudadadeki nikasema hawa washaniona kwenye system yao nina VVu sasa wanataka na mimi nijue ili nianze dozi.. nilivyokataa kupima akaanza kunipq ushauri. Kudadadiki nikasema leo ninalo.

Nikarudi kwenye vipimo. Alinambia itachukua 10/15 minutes. Majibu yakawa yanachelewa... Uzalendo ukanishindq nikasema leo nasepa hayo majibu wabaki nayo... ile nashuka ngazi kuondoka nikakutana na yule nurse ndio anarudi akanidaka unaenda wapi twende ukachukue majibu yako... Almanusura nizimie Nikaona leo ndio leo sasa alikua na mtu wa maabara nikasema naona majibu ni positive na huyu mtu wa maabara kaja kuniangalia huyo bidada mwenye majibu positive. Miguu imeniisha nguvu niko hoi. Natetemeka jasho hadi kwenye ulimi. Akaanza kunipa ushauri hapo hakuna lilikokua linaniingia..... halafu ananiuliza uko tayari kupokea majibu yake.... Am like What the hell ananiuliza hapa

Akaniambia niko NEGATIVE. Relief niliyoipata pale Mwenyezi Mungu pekee anajua.
 
Hahahahaha naona umejawa na hofu sana, mawazo kama haya yako hipelekea bhantu kusepa
Usijiaminishe boss, wanawake hawaaminiki siku hizi ukute hugongi nje halafu anakuletea ngoma kibaya zaidi hata mtoto sio wako. Shukuru Mungu uko salama chief lakini tabu iko pale pale
 
Hahahahahahaha wewe umefanya mpaka wife ameniona hamnazo kwa kucheka pekeangu. Vipi kwasasa umeshazoea au bado unamawenge na utakimbia majibu?
Hahaaaa

Mimi nilipima Aga Khan... Nilikua naumwa sasa katika vipimo nikaonekana sina tatizo daktari akanishauri kwanini nisipime na HIV nikasema Mungu wangu au keshaona ninao nini..... nikasema nitakuja siku nyingine akaanza kunipq ushauriii wee baadae nikakubali kishingo upande.

Nikaelekezwa sehem ya kwenda, kule nako nikapewa ushauriii wee na huyo bibi nikamwambia naomba nijifikiriw nitarudi. Sasa huo muda ukawa umeenda maaana daktari wangu alikua anaingia asubuhi akifika mchana anaondoka anaingia mwimgine... Nikasema mimi mle ndani kupima sirudi. Na sasa mchana yuko Dk mwingine hatojua kuhusu mambo ya kupima ukmwi...Nikarudi chumba cha daktari nikamuonyesha majibu mengine. Akanambia kuna kipimo Dk Jane (aliekuwepo asubuhi) alinambia utafanya majibu yake vipi.... Lahaulaa nikasema mimi leo nimeona nisipime nitakuja siku nyingine.

Nae akaanza kunipq ushauri. Kudadadeki nikasema hawa washaniona kwenye system yao nina VVu sasa wanataka na mimi nijue ili nianze dozi.. nilivyokataa kupima akaanza kunipq ushauri. Kudadadiki nikasema leo ninalo.

Nikarudi kwenye vipimo. Alinambia itachukua 10/15 minutes. Majibu yakawa yanachelewa... Uzalendo ukanishindq nikasema leo nasepa hayo majibu wabaki nayo... ile nashuka ngazi kuondoka nikakutana na yule nurse ndio anarudi akanidaka unaenda wapi twende ukachukue majibu yako... Almanusura nizimie Nikaona leo ndio leo sasa alikua na mtu wa maabara nikasema naona majibu ni positive na huyu mtu wa maabara kaja kuniangalia huyo bidada mwenye majibu positive. Miguu imeniisha nguvu niko hoi. Natetemeka jasho hadi kwenye ulimi. Akaanza kunipa ushauri hapo hakuna lilikokua linaniingia..... halafu ananiuliza uko tayari kupokea majibu yake.... Am like What the hell ananiuliza hapa

Akaniambia niko NEGATIVE. Relief niliyoipata pale Mwenyezi Mungu pekee anajua.
 
Hahaaaa

Mimi nilipima Aga Khan... Nilikua naumwa sasa katika vipimo nikaonekana sina tatizo daktari akanishauri kwanini nisipime na HIV nikasema Mungu wangu au keshaona ninao nini..... nikasema nitakuja siku nyingine akaanza kunipq ushauriii wee baadae nikakubali kishingo upande.

Nikaelekezwa sehem ya kwenda, kule nako nikapewa ushauriii wee na huyo bibi nikamwambia naomba nijifikiriw nitarudi. Sasa huo muda ukawa umeenda maaana daktari wangu alikua anaingia asubuhi akifika mchana anaondoka anaingia mwimgine... Nikasema mimi mle ndani kupima sirudi. Na sasa mchana yuko Dk mwingine hatojua kuhusu mambo ya kupima ukmwi...Nikarudi chumba cha daktari nikamuonyesha majibu mengine. Akanambia kuna kipimo Dk Jane (aliekuwepo asubuhi) alinambia utafanya majibu yake vipi.... Lahaulaa nikasema mimi leo nimeona nisipime nitakuja siku nyingine.

Nae akaanza kunipq ushauri. Kudadadeki nikasema hawa washaniona kwenye system yao nina VVu sasa wanataka na mimi nijue ili nianze dozi.. nilivyokataa kupima akaanza kunipq ushauri. Kudadadiki nikasema leo ninalo.

Nikarudi kwenye vipimo. Alinambia itachukua 10/15 minutes. Majibu yakawa yanachelewa... Uzalendo ukanishindq nikasema leo nasepa hayo majibu wabaki nayo... ile nashuka ngazi kuondoka nikakutana na yule nurse ndio anarudi akanidaka unaenda wapi twende ukachukue majibu yako... Almanusura nizimie Nikaona leo ndio leo sasa alikua na mtu wa maabara nikasema naona majibu ni positive na huyu mtu wa maabara kaja kuniangalia huyo bidada mwenye majibu positive. Miguu imeniisha nguvu niko hoi. Natetemeka jasho hadi kwenye ulimi. Akaanza kunipa ushauri hapo hakuna lilikokua linaniingia..... halafu ananiuliza uko tayari kupokea majibu yake.... Am like What the hell ananiuliza hapa

Akaniambia niko NEGATIVE. Relief niliyoipata pale Mwenyezi Mungu pekee anajua.
Nimecheka kishenzi yaani yaani nishawai kwenda nikaishia getini
 
Sisi wanawake kipindi cha ujauzito tunapimwa. Hadi tumeshazoea.
 
Jamaa umelazimishwa na mazingira(UJAUZITO WA MKEO), mbona siku zoooooote hukuwahi kwenda halafu unasema simplo ngoja na sisi tufikie hapo ndo tutakuja kukuunga mkono azawaizi tuache kwanza
 
Majibu yakiwa - wala hutoona tatizo ila yakiwa + hapo ndyo utaona maumivu ya nafsi
Nakumbuka nilienda kupima miezi michache kabla ya kwenda kuposa na majibu yalivyokuwa mazuri nilitamani nipeleke posa muda uleule
 
Hahaaaa

Mimi nilipima Aga Khan... Nilikua naumwa sasa katika vipimo nikaonekana sina tatizo daktari akanishauri kwanini nisipime na HIV nikasema Mungu wangu au keshaona ninao nini..... nikasema nitakuja siku nyingine akaanza kunipq ushauriii wee baadae nikakubali kishingo upande.

Nikaelekezwa sehem ya kwenda, kule nako nikapewa ushauriii wee na huyo bibi nikamwambia naomba nijifikiriw nitarudi. Sasa huo muda ukawa umeenda maaana daktari wangu alikua anaingia asubuhi akifika mchana anaondoka anaingia mwimgine... Nikasema mimi mle ndani kupima sirudi. Na sasa mchana yuko Dk mwingine hatojua kuhusu mambo ya kupima ukmwi...Nikarudi chumba cha daktari nikamuonyesha majibu mengine. Akanambia kuna kipimo Dk Jane (aliekuwepo asubuhi) alinambia utafanya majibu yake vipi.... Lahaulaa nikasema mimi leo nimeona nisipime nitakuja siku nyingine.

Nae akaanza kunipq ushauri. Kudadadeki nikasema hawa washaniona kwenye system yao nina VVu sasa wanataka na mimi nijue ili nianze dozi.. nilivyokataa kupima akaanza kunipq ushauri. Kudadadiki nikasema leo ninalo.

Nikarudi kwenye vipimo. Alinambia itachukua 10/15 minutes. Majibu yakawa yanachelewa... Uzalendo ukanishindq nikasema leo nasepa hayo majibu wabaki nayo... ile nashuka ngazi kuondoka nikakutana na yule nurse ndio anarudi akanidaka unaenda wapi twende ukachukue majibu yako... Almanusura nizimie Nikaona leo ndio leo sasa alikua na mtu wa maabara nikasema naona majibu ni positive na huyu mtu wa maabara kaja kuniangalia huyo bidada mwenye majibu positive. Miguu imeniisha nguvu niko hoi. Natetemeka jasho hadi kwenye ulimi. Akaanza kunipa ushauri hapo hakuna lilikokua linaniingia..... halafu ananiuliza uko tayari kupokea majibu yake.... Am like What the hell ananiuliza hapa

Akaniambia niko NEGATIVE. Relief niliyoipata pale Mwenyezi Mungu pekee anajua.
Halaf wauguz wa hospital wanakuaga was.enge sana.sasa y umzungusheee mtu maneno meeng,mpe majib asepe,yaan hyo procedure yao ni ya kisen.ge sana,kama mtu negativ si umwambie fasta tuu

Yaan hua wanafanya kama wanakukomoa vile...wase.nge sana
 
Back
Top Bottom