X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,791
- 15,019
tuliumbwa tupendane, tuijaze dunia kisha tuvitawale vyote vilivyopo duniani.
Dunia ni yetu sote lakini bahati huwa inawaangukia wengine ambao hudhania dunia ni yao pekee.
Sekta ya mahusiano ni pana sana, kuna mahusiano mazuri na mahusiano mabaya lakini mahusiano yote huwa yanaanza vizuri kisha baadae mambo hugeuka na wale waliokuwa wanapendana wakajikuta wanachukiana hawataki ata kuonana, kila mmoja akizungumza baya la mwenzake.
Ata nchi na nchi zinakuwa na mahusiano mazuri lakini ikitoke nchi moja ikashindwa kutekeleza maazimio waliojiwekea mahusiano ya nchi hizo huwa mabaya na pengine ata vita huweza kutokea.
Mume na mke wanaoana wanasherehekea harusi yao. Lakini wengi hujisahau kuwa siri ya mapenzi ni kutoa kama ulichopokea. Yani unatakiwa umhudumie mume/mkeo kama vile anavyokuhudumia utakuta mahusiano mengi yanavunjika baada mmoja wao kujiona yeye anatumika kuliko mwenzake.
Tendo la ndoa....
Kiini cha ndoa nyingi ni tendo la ndoa mengine huwa ni kama kionjo ndoa nyingi zimepoteza uelekeo baada ya kushindwa kutimiza hitaji la tendo la ndoa iwe mume hamridhishi mke ama mke atoi ushirikiano mzuri.
Tunaitafuta furaha lakini mwisho wa furaha ni karaha, simanzi na hudhuni.
Utahudhunika sana lakini mwisho wa hudhuni ni furaha, faraja na matumaini.
Hivi ndivyo dunia ilivyoumbwa kuna muda utacheka sana, lakini kuna muda ukifika utalia sana.
Na wengine hushindwa kuzizuia hudhuni zao hujikuta wanawashirikisha wengine ambao kwa namna moja ama nyingine wanajikuta wanajiongezea hudhuni.
Wengi huwa awatamburiki wakiwa na hudhuni hulia ndani kwa ndani.
Wale wenzangu na mimi wanaingia chooni wanaliaaa kisha wananawa uso wanatoka wakiwa na furaha tele.
Kikubwa ndugu masomaji ukiwa na hudhuni usijizuie kulia chozi lina umuhimu sana, chozi linaweza kukurudishia furaha yako. Na chozi huwa linapunguza hudhuni au kuiondoa kabisa.
Hudhuni, furaha, karaha, faraja, vita , amani, kilio na kicheko hivo ni vipindi ambavyo binaadam wote huwa tunapitia.
Kwa leo niishie hapo nikipata muda nitazungumza tena.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Afrika.