GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,647
Napenda kujua ikiwa kuna madhara au faida ya kusimamisha mlingoti kwa muda mrefu. Mfano nipo kazini muda huu... Hamu imenijia... Mashine imesimama almost saa moja na ushee....
Je nitapata madhara yoyote kiafya?au ni faida kiafya?inatokea sometime kuna siku ambazo zinakuwa na udambwi dambwi wake...unajikuta kila wakati unafikiria tu kucheza game.hata ufanyeje bado inakujia tu picha ya issue mbele yako.
Ukimwona mdada unafikiria game,ukisikia sauti unafikiria game.siku nzima unajikuta hujielewi elewi na mashine muda wote ina search network connection. Je haimalizi charge?waswas wangu upo hapo kuwa hiki kitendo hakimalizi charge?