Nani anasema Mwanaume hajui Uchungu wa Kuzaa???

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Mwili wa Binadamu unaweza kuhimili maumivu ya 45 del (unit) za maumivu.

Lakini wakati wa kuzaa mwanamke hufikia hadi 57 del za maumivu kiwango hicho cha Maumivu ni sawa kabisa na mivunjiko 20 ya mifupa katika mwili kwa Muda mmoja.

Lakini Mwanamme akipigwa kwenye
KORODANI hupata maumivu zaidi ya 9000 del ambayo ni sawa na maumivu ya Kuzaa watoto 160 ambayo ni sawa na kuvunjika Mifupa 3200 ya mwili kwa wakati mmoja.

Nani anasema Mwanaume hajui Uchungu wa Kuzaa.?
 
Ukipigwa "korodani/dukani/transformer/engine/kengele/booster/pumb*/gololi/vitunguu" kwanza nguvu za mwili mzima hua zinakata ghafla. Kisha unaanza kusikia tumbo linavuruga kama una ngiri/mchango. Jasho jembamba linatiririka. Chozi nalo halikawii, linakuja bila brake.

Yani kuisoma hii makala, kufikia kwenye maumivu ya kupugwa korodani kwanza roho na tumbo limenishtuka.

Wanawake wanakuja, tuvute subira.
 
Sijui tu kwa wale ambao huwa wanabanwa makende kwa prize ili aongee wanachotaka wazee wa kazi.
 
Ukipigwa "korodani/dukani/transformer/engine/kengele/booster/pumb*/gololi/vitunguu" kwanza nguvu za mwili mzima hua zinakata ghafla. Kisha unaanza kusikia tumbo linavuruga kama una ngiri/mchango. Jasho jembamba linatiririka. Chozi nalo halikawii, linakuja bila brake.

Yani kuisoma hii makala, kufikia kwenye maumivu ya kupugwa korodani kwanza roho na tumbo limenishtuka.

Wanawake wanakuja, tuvute subira.
Yaani unajihisi kama unataka kufakufa hivi
 
Maumivu ya kende ni noma,hazipasuki lakini zikiguswa lazima ulale.
 
Nilipokuwa mdogo mdogo nilikuwa nina mchezo wa kupanda kwenye kingo za kitanda cha chuma halafu naruka juu then nadondoka kwenye godoro. Siku hiyo nikateleza. Nikaangukia zile kengele. Lahaula! Yale maumivu yake unadhani nilikuwa nachunwa ngozi na kisu butu. Toka siku hiyo nikaachana na huo mchezo.
 
Mnapigwa hayo makende mkifanya nini? Acheni kufananisha uchungu wa kuzaa na vitu vya kijinga.
 
Back
Top Bottom