Kwa taarifa yako ukiona Siku 15 zimebaki kuelekea Sikukuu za Krismasi na Mwaka mpya halafu ama Mke wako au Mpenzi wako au Mchumba wako akakuonyesha moja ya dalili hizi zifuatazo au hata zote jua...
Nimekuja jijini Mwanza. Kitu kimoja nime-notice ni kwamba. Mabinti wa huku bado wana medieval mentality yaan mtindo wa maisha ambao ni primitive. Ukitaka kumgegeda mpka utongoze upige sound week...
To all the guys here
Ukifahamu hili itakusaidia hata kama si sasa hata
Baadae itakufaa sana brother.
Kuna tabia imeshamiri hususani kwa upande wa
dada kuwafanyia mchezo mbaya waume/mabwan...
Nimekuwa nikijiuliza, inakuwaje mtu mzima na akili zake akifumaniwa anapoteza nguvu? unaweza kuta jamaa la miraba minne limewekwa chini na kajamaa kadogo tu, hii imekuwa kinyume kabisa na...
Moja kwa moja kwenye mada, ukiwa na mke1 kuna changamoto nyingi sana ambazo mpaka uwe mwanaume uliyeooa ndio utaelewa..
1.Mwanamke akizaa unafanyaje katika kipindi anachonyonyesha?
2.Akiwa blid...
Kibiolojia tendo la ndoa ni tendo linalotumia energy nyingi sana. Kitendo cha kupiga bao moja energy inayotumika ni sawa na kukimbia viwanja vya mpira kumi.
Ki msingi ...tendo la ndoa nilnaunguza...
Wakuu habari zenu...
Kwa sasa nipo katika hatua za awali katika kuandaa andiko fulani juu ya familia na makuzi ya watoto na nimejikuta nahitaji kujua ni vitu gani hasa wanawake huwa wanavihitaji...
Najua kila mmoja wetu yupo katika mahusiano. Mahusiano ambayo licha ya kuwa na furaha ndani yake lakini vile vile huwa kuna maumivu na mateso makali sana. Wengi ni waongo, wasaliti na hawajali...
natafuta mwanamke .wa kuondoa upweke
Lonely I'm so lonely
I have nobody
To call my own
I'm so lonely, I'm Mr. Lonely
I have nobody
To call my own
I'm so lonely
My husband is an Engineer by profession, I love him for his steady nature, and I love the warm feeling when I lean against his broad shoulders.
Three years of courtship and now, two years into...
Za mchana viongoz..leo ndo nmeanza likizo yangu..sasa kama kawaida kuna mdada hua anakuja kufanya usafi, nampigia sim anakuja,..ingawa pia jana nilimwambia beibe aje kuanzia jion
Cha ajab amekuja...
Aisee mapenzi matamu sana lakini mkichokana bhasi inafika hatua mpenzi wako anaweza kukutafutia sababu au kisa cha kijinga Unaona kabisa Huyu lengo lake tuachane...!! Mfano kuombwa hela wengine...
Mimi ni mkongwe humu ila nimebadirisha ID nipate kuwa huru juu kuandika nilichoandika.
Nimekuwa katika mahusiano na binti flani kwa miaka minne kwa sasa. Mimi ndiye niliyemzindua na katika kipindi...
Twende moja kwa moja, ni haya..
1.Oa mwanamke anayekupenda sana.
2.Oa mwanamke mwenye upeo wa kati wa kufikiri ili umkamilishe wewe.
3.Usioe mwanamke wa kisasa, na asiwe mshamba sana, ila...
My personal experience imenifikisha kwenye conclusion hii...kuwa wanaume wa Dar wanapewa lawama za bure khali ukweli wa mambo wao ni waanga wa kimazingira tu.
Nimeishi kwenye maeneo yenye baridi...
Unamuona manzi for the first time na unamkubali kiukweli. Unafanya michakato ya contacts kama mzaha unazipata, mnachat mdogo mdogo baada ya wiki kadhaa mazoea yanakua unampa ya moyoni anakwambia...
Baada ya date mbili tatu na jamaa ninadhani nilishinda test niliambiwa J2 nijiandae tunakwenda kwa mama nilifika nikakaribishwa kwa mapokezi makubwa.
Mama alishapika chakula ilikuwa ni muda wa...