Kutafutiwa sababu Ili Akuache...

Kutafutiwa sababu Ili Akuache...

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Aisee mapenzi matamu sana lakini mkichokana bhasi inafika hatua mpenzi wako anaweza kukutafutia sababu au kisa cha kijinga Unaona kabisa Huyu lengo lake tuachane...!! Mfano kuombwa hela wengine hata kutumia namba zingne kukupima uaminifu kumbe lengo Muachane tu..

Je ushawahi tafutiwa kisa ili muachane??? Ilikuwaje...?
 
Binafsi sielewei maana hatuachani ila cha moto nakiona, sio kuwekwa blacklist, kuanzishiwa drama zisizo za msingi na kukumbushiwa makosa. Dah
 
Back
Top Bottom