ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,347
Najua kila mmoja wetu yupo katika mahusiano. Mahusiano ambayo licha ya kuwa na furaha ndani yake lakini vile vile huwa kuna maumivu na mateso makali sana. Wengi ni waongo, wasaliti na hawajali kile ambacho kipo ndani ya Moyo wa yule aliyenae.
Wengi wamekuwa wakionyesha mapenzi ya dhati kwa wale wawapendao lakini unakuta huyo huyo anayekupigia magoti mpaka kutoa chozi ndio huyo huyo anayekusaliti na kukuliza.
Je kutokana na migongano hiyo ambayo ndio imetawala mapenzi yetu kwa asilimia kubwa. Wewe kama wewe ni kipi kimachokupa imani kwa yule uliyenae kuwa anakupenda kweli?