Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,961
Za mchana viongoz..leo ndo nmeanza likizo yangu..sasa kama kawaida kuna mdada hua anakuja kufanya usafi, nampigia sim anakuja,..ingawa pia jana nilimwambia beibe aje kuanzia jion
Cha ajab amekuja saa nne asubuh,.kamkuta huyu dada anafanya usafi,..huko nyuma aliwai kuja hiv hiv akamkuta,ulizuka ugomv,..na leo kaja kamkuta tena mdada huyu huyu wa siku ile,.halaf huyu dada wa usaf sjui vp,anajijua ana tako kuliko dem wangu halaf anavaa kaptura,dah
Maskin dem wangu kaniletea sambusa za nyama hapa nmezila ile saa nne asubuh,inshort tumekula wote,ila tokea hyo asubuh,naendesha vbaya mnooo.
Yaan
1.ugomv mkali had mdada wa kaz kaondoka et atamalizia mwenyew
2.naharisha kinoma noma,had nahis nmekonda ndan ya muda mfup,af dem ananicheka et,
3.nilipania tendo la ndoa leo vbaya mno ila mpaka dk hii hata nguv za hyo kitu sina
Uzi tayar