Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimemuota nimemtokea ila kanipa mtoso kama wa kilo zote hivi. Nilihuzunika sana, ila ghafla furaha ilirudi baada ya alarm kulia na kugundua ilikuwa ni ndoto. Ndio nataka nimtokee, ila nikikumbuka...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Niko saa la pili nambembeleza rafiki yangu kipenzi kwa yaliyomkuta Si mtumiaji wa pombe ganja au aina yoyote ya kilevi kusema kimpunguzie mawazo. Namuacha alie halafu nambembeleza kidogo, inafika...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nataka nione wanao kubali lisemwalo na wanaokataa lisemwa Watch to attachment here
1 Reactions
3 Replies
892 Views
Jamani mm sijawai kuigiziwa kwenye mapenz kuwa napendwa bila kujua. Akiigiza huwa najua tu, Na huwa natambua hilo kwa pande mbili; kuangalia tabia yake anayoonesha kwangu, au sexual behaviour yake...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Naam,habari za mwisho wa juma wakuu,leo nimekumbuka moja kati ya siku ambayo itakua ngumu sana kuisahau ktk maisha hususani nikikaa na kukumbuka purukushani za ujana hasa likija suala la kusaka...
25 Reactions
75 Replies
7K Views
Mapenzi ni ubunifu, unaweza ukaona kitu kidogo lakini kitu hiko ukikifanya kwa mlango wa mapenzi kinakuwa kikubwa na hakiwezi kusahaulika kirahisi kwa mwenza wako. ukizungumzia mapenzi watu weusi...
21 Reactions
98 Replies
19K Views
Kwa wale waliomo katika mapenzi ya mbali(Distance love) wanaume wenu wanatumia kauli gani muwapigiapo simu muda wa usiku? Hii nimeishuhudia kwa baadhi wa mashost zangu wakilalamika kuwa siku hizi...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Maelezo yangu: Nimefanyia utafiti wa muda mrefu "iliposemekana" mwanamuziki Nandy kamuachilia aliyekua mpenzi wake Billnas amuingizie vidole njia ya haja kubwa. Na haya ndiyoniliyobaini: A...
1 Reactions
32 Replies
16K Views
HABARI ZA IJUMAA wakuu poleni na mihangaiko ya kimaisha mdogo wenu nina matatizo nahitaji ushauri wenu mdingi wangu anapiga sana p0mbe yaani akipata pesa yeye na pombe pombe na yeye tena kama...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Za leo wakuu, napenda kuuliza ni mambo gani yatakanayo kufanywa na mwanume ili kuwa romantic kwa mwenzake. Noambeni ushauri maana hili swala limekuwa tatizo sana kwenye uhusiano wangu na wife...
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Habari wakuu, ID hii ni mpya lakini mimi ni mwenyeji humu ndani, nimeamua kutumia ili kuepusha baadhi ya mambo. Wakuu naamini ushauri wenu utanisaidia sana ndio maana nipo hapa. Ipo hivi: Mwezi...
6 Reactions
160 Replies
19K Views
Unajua wanaume mpaka tukapewa ruhsa na allah tuoe zaidi ya mke mmoja...anajua tuna uwezo wa kulimudu hilo kama wanaume... Ila inahitaji uadilifu wa hali ya juu uweze kufurahia ndoa na uishi kwa...
4 Reactions
100 Replies
9K Views
habari wadau! siku hizi mambo ya michepuko ya mepamba moto sana,unakuta mtu ameoa ndoa hajamaliza hata mwaka lakini unakuta ana michepuko kibao,wakati mwingine tabia hiyo hupelekea hata ndoa...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamvi. Leo nimeshuhudia kisa cha tetea mmoja aliyepigwa mtungo na majogoo sita yaliyoshiba! yani katetea ndo kanapevuka,kame pigwa mtungo hadi kamekunya mavi.Sasa nimebaki...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Kuna Jamaa kanipa story jinsi mahusiano yanavyomuendea ni kwamba jamaa akitongoza mwanamke akataliwi yani anakubaliwa mapema sana lakini tatizo linakuja wakianza mahusiano. Baada ya siku tatu au...
4 Reactions
102 Replies
9K Views
We are three brothers from different mother,it's a bond brought by a friendship of more than a years Shida inakuja unapomkopesha mtu pesa unajua kabisa kaingiza pesa afu longolongo inaanza...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana Jf. Mimi nina miaka 33 nina mtoto
5 Reactions
66 Replies
8K Views
Nahitaji mwanamke wa kuoa mwenye sifa za kuwa mke. Sifa zangu: Umri 28 Dini mkristo Mengine pm Sifa za nimtakaye: Awe chini ya umri wangu . Sichagui dini. Awe anajitambua . Kwa aliye tiyari...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nina uhakika hili tukio lililotokea huko nchini Ujerumani kama litazingatiwa na kuigwa na Wanawake wengi wa Kiswahili / Kitanzania basi Wanaume wengi ' tutafungwa ' Jela na kama pia Mahakama...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu,mama yangu ana miaka 46 na amefanikiwa kuwa na watoto wanane(wanaume 4 na wanawake 4). Baba yangu alifariki 2014 hivo tukabaki na mama tu,lakini Dada...
8 Reactions
175 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…