PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Nimemuota nimemtokea ila kanipa mtoso kama wa kilo zote hivi. Nilihuzunika sana, ila ghafla furaha ilirudi baada ya alarm kulia na kugundua ilikuwa ni ndoto.
Ndio nataka nimtokee, ila nikikumbuka hiyo ndoto nahisi kama naufuata mtoso original.
Ushauri wenu wadau, nimtokee tu au??? Maana mtoto ni mkali kinazi aisee.
Ndio nataka nimtokee, ila nikikumbuka hiyo ndoto nahisi kama naufuata mtoso original.
Ushauri wenu wadau, nimtokee tu au??? Maana mtoto ni mkali kinazi aisee.