"Girls deserve to be cheated"

"Girls deserve to be cheated"

Mkwawe

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2016
Posts
3,208
Reaction score
5,682
Niko saa la pili nambembeleza rafiki yangu kipenzi kwa yaliyomkuta
Si mtumiaji wa pombe ganja au aina yoyote ya kilevi kusema kimpunguzie mawazo. Namuacha alie halafu nambembeleza kidogo, inafika hatua Mimi mwenyewe naumia sana maana ni rafiki ndugu ambaye hufanya nafurahi Mara zote. Huzuni yake ni Kama msiba kwangu.
Si MTU wa kuyapitia haya tunafanana kwa mengi sana.

ILA AMEYATAKA maana kaka yake alimuambia aache kujifanya Shah rukh Khan kwa wanawake, wanawake bila kuwanyanyasa akili haiwaji, hata mimi nilimuona kaka yake ni mtu wa ajabu ila Leo injili yake imetimia na namuona kama nabii mwenyeji.

Swali kwa wanawake, MNATAKA MWANAUME AWEJE ILI MTULIE NA KUWAFANYA WANAUME WASIKATE TAMAA JUU YENU KWA KUWA players!?
 
Atafute tu pesa..azisake haswaa..nitatulia

[emoji3]
 
Unatakiwa uwe nao wengi
akikuumiza mmoja
mwengine atakufariji
 
Atafute tu pesa..azisake haswaa..nitatulia

[emoji3]
Mond akitumia pesa kuwararua mnaanza kuleta ngenga "ooh mnyanyasaji wa wanawake"

Na msipojua hatma yenu mtanyooshwa sana tu
 
Mond akitumia pesa kuwararua mnaanza kuleta ngenga "ooh mnyanyasaji wa wanawake"

Na msipojua hatma yenu mtanyooshwa sana tu
Comment murua kabisaa..

Toka nlipochapiwa kiulaini na mimba juu na jamaa mwenye jiwe la kutosha kipindi Niko advance hua sina huruma na kiumbe yeyote anaitwa msichana.

Over
 
Comment murua kabisaa..

Toka nlipochapiwa kiulaini na mimba juu na jamaa mwenye jiwe la kutosha kipindi Niko advance hua sina huruma na kiumbe yeyote anaitwa msichana.

Over
Kuwa hivyo siku zote
Never look back....
Utageuka jiwe la chumvi
 
Wanawake wabadilike

Dah

Bora ya sumu kuliko hawa wadudu wa zama hizi
 
Wanawake wengi hua wanawapenda ma bad boys
Mwanamke akishakutana na hawa jamaa akili yake ndio sawa na msela anapewa mapenzi yote, ila ukijifanya wewe ni smart boy lazima ile kwako.
 
Mm binafsi na wehu nilonso jana kuna mtoto kanambia mie sio type yake tuachane nmemkubalia pale saiv napigiwa simu ooh kanimiss ... hivi wakoje hawa?
 
Wanawake wengi hua wanawapenda ma bad boys
Mwanamke akishakutana na hawa jamaa akili yake ndio sawa na msela anapewa mapenzi yote, ila ukijifanya wewe ni smart boy lazima ile kwako.
 

Attachments

  • Quotes_Creator_20181222_131742.png
    Quotes_Creator_20181222_131742.png
    477.6 KB · Views: 34

Similar Discussions

Back
Top Bottom