Natafuta mchumba awe mweupe, mrefu wastani, na smart.

Hashimu lwenje

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
415
359
Habarini ndugu zangu mimi ni kijana, nina umri wa miaka 27, natafuta mchumba anaye endana na mimi, awe mweupe, mrefu wastani, mzuri, mwembamba ila sio sana, lile umbo la kuvalia nguo. mimi ni mweusi japo sio sana, mcheshi, smart, na mrefu. Nimejitahidi kutafuta najikuta naangukia kwa wasichana ambao sio chaguo la moyo wangu hasahsa maji ya kunde na weusi kama mimi. Napenda sana wanawake weupe,

Ahsanteni
 
Habarini ndugu zangu mimi ni kijana, nina umri wa miaka 27, natafuta mchumba anaye endana na mimi, awe mweupe, mrefu wastani, mzuri, mwembamba ila sio sana, lile umbo la kuvalia nguo. mimi ni mweusi japo sio sana, mcheshi, smart, na mrefu. Nimejitahidi kutafuta najikuta naangukia kwa wasichana ambao sio chaguo la moyo wangu hasahsa maji ya kunde na weusi kama mimi. Napenda sana wanawake weupe, hiyo ni kutokana na jinsi familia yangu ilivyo, wote weupe kasoro mimi tu, japo sura na vingine vingi tumefanana.

Ahsanteni

Kwani kuna umbo la kutovalia nguo!?
 
Kwa hiyo unahisi umekosewa kwa kuwa mweusi bro hadi utafute mtu mweupe tu ili aendane na familia yako...

Neno NINGEJUA huja mwisho wa safari ila nakutakia mafanikio mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom