Wadada msituone sisi mazuzu aisee, hii ni 2019

MtamuMix

Senior Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
119
Reaction score
138
Haiwezekani,
Katika list ya wadada niliowahi kurusha nyavu zangu na kukataliwa (japo ni wachache sana) wengine wana zaidi ya mwaka tunapigana chenga tuu bila bila. Leo tarehe 4 January, nyavu zote zimeleta samaki aisee, utadhani wamekubaliana, kila kona nilipowahi kujaribu nikashindwa leo wamekubali, hata nikiwapanga foleni wiki nzima nisifanye kazi nyingine yoyote siwamalizi, shenzi shwaini kabisa.

Sasa mimi mfalme wa makauzu duniani, wote napiga chini, na ole wake atakayekuja nitakula mzigo ataondoka na buku 5 ya bajaji. Msitufanye ATM bana, mmeshaona majukumu ya January sasa mnaachia mitambo ya kusaka noti.... Aliyekuwa nami August ndo atakuwa nami January.....
Nimemaliza
 
kwani wakati unatupa nyavu zako ilitegemea uvue samaki wangapi.?
we pambana nao tuu.
 
Haiwezekani,
Katika list ya wadada niliowahi kurusha nyavu zangu na kukataliwa (japo ni wachache sana) wengine wana zaidi ya mwaka tunapigana chenga tuu bila bila. Leo tarehe 4 January, nyavu zote zimeleta samaki aisee, utadhani wamekubaliana, kila kona nilipowahi kujaribu nikashindwa leo wamekubali, hata nikiwapanga foleni wiki nzima nisifanye kazi nyingine yoyote siwamalizi, shenzi shwaini kabisa.

Sasa mimi mfalme wa makauzu duniani, wote napiga chini, na ole wake atakayekuja nitakula mzigo ataondoka na buku 5 ya bajaji. Msitufanye ATM bana, mmeshaona majukumu ya January sasa mnaachia mitambo ya kusaka noti.... Aliyekuwa nami August ndo atakuwa nami January.....
Nimemaliza
Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inanikumbusha uzi wa love over ego
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom